Ewura wanaifilisi serikali jamani.doller 24,000*11 loh!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Unaweza hisi ni saa nane mchana watu wanaenda kusikiliza redio moja tu enzi hizo redio tanzania kipindi cha MAMA NA MWANA...lakini kwa masikitiko makubwa wapendwa nimeona niwape hii kwa manufaa ya umma hii EWURA Ni wafilisi wakubwa wa kodi za watanzania..sijui serikali ina makusudi gan ama ndio pesa za mkwere zinapitishiwa hapo kwenye bajeti..karibun wah 11 waanaandamana BUSSINESS CLASS wakikatiwa tkt za kuzuzura ovyo za zaiidi ya nchi 7kwa usd 24,000 kwa mmoja...kampun moja inahusika kufanya xxxxx na mengineyo pamoja na hotel za wah ...kwa kweli n masikitiko makubwa kuona watu wa gongo la mboto wanatafuta hela za kufidiwa na huku wahh wakihaha na nchi za watu hapo n nje ya Per Diem

Mungu shuka naomba ushuke bwana YESU ...
 
hata mimi nilishasikia matumizi makubwa yasiyo ya lazima wala yasiyoendana na hali halisi ya nchi yetu yafanywayo ewura. fikiri wanapata 1% kwa mauzo ya mafuta, maji na umeme, hizo ni bil ngapi kwa mwaka? zote hizi wao ni special kiasi gani katika nchi hii?

any way, yangu macho na masikio!
 
Back
Top Bottom