Ewura wameweza tcra wanashindwa nini?

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
15,187
20,151
NILIKUWA NAFATILIA MAONYESHO YA NANENANE KUPITIA RUNINGA NILIONA JINSI EWURA WAKIONYESHA MASHINE AMBAZO ZINATUMIKA KUKAGUA MAFUTA KAMA YAMECHAKACHULIWA,KAMA HAYAKULIPIWA KODI(MAFUTA YANAYOENDA NJE YA NCHI NA YALE YANAYOTUMIKA MIGODINI HAYALIPIWI KODI) mASHINE MOJA INA GHARIMU $75,000UKIZIDISHA KWA 3 UNAPATA SHILINGI 360,000,000 ZA KITANZANIA TUKICHUKULIA $ NI SAWA NA SHILINGI 1600 GHARAMA YA KUIMANAGE NI SHILINGI BILIONI 10 KWA MWAKA HIZI MASHINE TANGIA ZIFIKE ZIMEIWEZESHA SERIKALI KUOKOA SHILINGI BILIONI 330 AMBAPO WALIFANYA UKAGUZI NA KUGUNDUA MAFUTA AMBAYO YALITAKIWA KWENDA NJE LAKINI YALIRUDI NA KUUZWA KWA AJILI YA MATUMIZI YA HAPA NCHINI WALITOA TAARIFA tra NA WAKALIPA KODI STAHIKI PIA KUNA WALE WANAOCHANGANYA MAFUTA HILI KUPATA FAIDA ZAIDI.
KUMEKUWA NA TUHUMA KUHUSU MAKAMPUNI YA SIMU KUTOLIPA KODI STAHIKI LAKINI PAMOJA NA TCRA KUKIRI HAWANA REKODI SAHIHI YA IDADI YA SIMU ZINAZOPIGWA BADO WANASUASUA KULETA CHOMBO AMBACHO KITAONYESHA IDADI YA SIMU NA MUDA WA SIMU UNAOPIGWA ILI SERIKALI KUKUSANYA KODI INAYOSTAHILI NDIO MAANA NASHANGAA NAPOSIKIA SERIKALI HAINA PESA MPAKA KUSHINDWA KUTOA PESA STAHIKI KWENYE HUDUMA ZA JAMII NA WAKIACHA WATU WACHACHE WAKIJINEEMESHA
 
Haya makampuni ya simu kuna mikono ya waheshimiwa. Na kama unavyojua waheshimiwa wetu hawa ulipaji wa kodi kwao huwa ni kama kuonewa hivi. Na ndo maana unaona hii nchi ilivyo na matatizo katika eneo hili la ukusanyaji kodi.
Kwa ujumla hii nchi ina sarakasi nyingi ambazo katika hali ya kawaida ni ngumu mno kujikwamua. Mbaya zaidi sarakasi zooote hizo huwa zinaratibiwa na kusimamiwa na haohao ambao wakisimama kwenye majukwaa na kule mjengoni utawaona wakipayuka na misuli ya shingo imewasimama hadi mapovu yanawatoka midomoni utadhani ni kweli wanayoyazungumza. Mfano ni hii ishu wanayoiita; ku-declare interests, ukifuatilia hapo utakuta waheshimiwa wengi ni wafanyabiashara na wanafanya biashara na hizihizi taasisi zikwemo za umma na zile za binafsi. Sasa piga picha jinsi mfanyabiashara anavyochukia kutozwa kodi. YAAANI HII TANZANIA YENYE CCM JAMANI MUNGU WANGUUUUUU!!!!
 
Back
Top Bottom