EWURA wametangaza bei mpya za mafuta...

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
..............Leo mkuregenzi wa EWURA ndugu Masebo ametangaza bei mpya za mafuta,kama walivyotuahidi kuwa bei mpya zitakuwa zikitangazwa kila baada ya wiki mbili...Kimsingi bei zimeshuka na hii inadaiwa na huyu mkurugenzi kuwa ni kutokana na ksuhuka kwa bei ya mafuta katika soko la dunia na nimepata bei za Dar peke yake ambazo zina-range kwnye hizi bei Petrol-2073.Diesel-1900 na kerosene-1900....wakuu naomba kama kuna mtu anazofull data azimwage hapa kwenye forum...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom