Ewe mwanamke usihangaike, sindano kiboko yao

Kufika 2020 tutaona mengi na vituko vingi na vichaa wataongezeka sana
 
Wewe kama hupendi mapenzi haina haja ya kuchoma masindano yanayokuuwa taratibu cha kufanya leta hospital wakunyofoe kizazi na mayai yote wauzie wakaanga chipsi hapo utakuwa umetatua tatizo lako..ila hutakiwi kwenda msikitini wala kanisani mana utakuwa mnafiki
Ha ha ha ha
 
Sisi tupo dunia ya tatu waulize waliopo dunia ya kwanza uone wako ktk stage gani wao
Tuulize tulio dunia ya leo. ...sio dunia iliyopangwa madaraja kwa ajili ya kunufaisha nafsi zao ....have a nice day my friend
 
Tuulize tulio dunia ya leo. ...sio dunia iliyopangwa madaraja kwa ajili ya kunufaisha nafsi zao ....have a nice day my friend
Dunia ya kwanza hadi ya tatu ipo Na itaendelea kuwepo until doomsday
 
nad
Wew ulisha choma hiyo sindano na una mapesa mengi?

Makahaba nao wachome sindano?

Kweli Mungu alikosea kuwaweka wanawake kwenye kundi la binadamu! Hizi akili siyo za binadamu wa kawaida kabisa!!
nadhani wewe ndo ulikosewa kuwekwa kwenye kundi la binaadamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom