Ewe MwanaJF, unajifichia nini?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Ewe mwanaJF uliye hapa Arusha,
Ewe mwanaJF uliye hapa kwenye jumba la starehe liitwalo BIG L",
Ewe mwanaJf unayekunywa kinywaji aina ya Sminorf ukichanganya na soda ya Tonic water.
Ewe mwanaJf uliyevaa koti la leather, jeusi na miwani ya kuvunga.
Nakuomba ujitambulishe kwangu, maana ninakuona uko bize na JF tokea ulipofika hapa.
Kwann hamtafuti wenyeji mkija Arusha?
Jitambulishe bana, mi niko hapa nyuma yako napata KONYAGI!
Watu wa A-town hatuogopani bana, acheni hizo!
Nakuckilizia.
 
Wabongo kibao sense of privacy very low.

Kuna watu wana tamaduni za privacy kiasi kwamba hata ukikaa pembeni yake kwenye treni, utoe laptop unafanya kazi zako, atajitahidi asipitishe macho yake kuona unachofanya, maana inaweza kuwa mambo yako ya faragha.

Wabongo hata mtu akikaa upande mwingine wa bar, mimacho pima kuangalia unafanya nini.

Tuache kufuatilia mambo ya watu.

Kama wewe hujifichi piga picha ujitoe hapa, umeshikilia id/passport yako huku ume log into JF kwa ID ya Pakajimmy.

Don't talk the talk, walk the walk.
 
Ewe mwanaJF uliye hapa Arusha,
Ewe mwanaJF uliye hapa kwenye jumba la starehe liitwalo BIG L",
Ewe mwanaJf unayekunywa kinywaji aina ya Sminorf ukichanganya na soda ya Tonic water.
Ewe mwanaJf uliyevaa koti la leather, jeusi na miwani ya kuvunga.
Nakuomba ujitambulishe kwangu, maana ninakuona uko bize na JF tokea ulipofika hapa.
Kwann hamtafuti wenyeji mkija Arusha?
Jitambulishe bana, mi niko hapa nyuma yako napata KONYAGI!
Watu wa A-town hatuogopani bana, acheni hizo!
Nakuckilizia.

KONYAGI KAZINI??........IDD Bana
 
Kiranga
My whole context is about Wabongo, ndiyo maana hukuwa na sababu ya kushangaa! u know "we" meeen!
Dont talk about the Alien world, of which we r not acquainted to!... Its like talking abt the Pluto and its thangs!...huh! ...stop that buddy!!
 
Last edited by a moderator:
Ewe mwanaJF uliye hapa Arusha,
Ewe mwanaJF uliye hapa kwenye jumba la starehe liitwalo BIG L",
Ewe mwanaJf unayekunywa kinywaji aina ya Sminorf ukichanganya na soda ya Tonic water.
Ewe mwanaJf uliyevaa koti la leather, jeusi na miwani ya kuvunga.
Nakuomba ujitambulishe kwangu, maana ninakuona uko bize na JF tokea ulipofika hapa.
Kwann hamtafuti wenyeji mkija Arusha?
Jitambulishe bana, mi niko hapa nyuma yako napata KONYAGI!
Watu wa A-town hatuogopani bana, acheni hizo!
Nakuckilizia.
kata hizo dibaji, nyanyuka nenda kamsalimie jitambulishe atakuelewa, mbona mimi tulikutana hivyohivyo mkuu
 
Kiranga
My whole context is about Wabongo, ndiyo maana hukuwa na sababu ya kushangaa! u know "we" meeen!
Dont talk about the Alien world, of which we r not acquainted to!... Its like talking abt the Pluto and its thangs!...huh! ...stop that buddy!!

Kama wewe mbongo kihivyo fanyia kazi challenge yangu niliyokupa kuhusu kuondokana na privacy basi tujkue.

Sio unataka wenzako wafunguke wakati wewe bado uko hapa kama "Pakajimmy".

Pakajimmy jina lako halisi nani basi kama unaamini katika uwazi huu wa kibongobongo?
 
Ewe mwanaJF uliye hapa Arusha,
Ewe mwanaJF uliye hapa kwenye jumba la starehe liitwalo BIG L",
Ewe mwanaJf unayekunywa kinywaji aina ya Sminorf ukichanganya na soda ya Tonic water.
Ewe mwanaJf uliyevaa koti la leather, jeusi na miwani ya kuvunga.
Nakuomba ujitambulishe kwangu, maana ninakuona uko bize na JF tokea ulipofika hapa.
Kwann hamtafuti wenyeji mkija Arusha?
Jitambulishe bana, mi niko hapa nyuma yako napata KONYAGI!
Watu wa A-town hatuogopani bana, acheni hizo!
Nakuckilizia.
Mkuu usitelemshe mikono hiyo, kamata bomba kana uko ndani ya mchuma wa dala dala.
NYAGI hiyo siyo chai
 
Back
Top Bottom