evoque umasikini unao mwenyewe

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
......
407920_10150594055333156_649878155_10646783_972327286_n.jpg

this is a 2012 brand new car...EVOQUE
bongo bana raha sana
usaidiweje?
 
dah..hawa sijui hii mihela wanaipataje?au ndo wauza viungo hawa?
na nikiangalia vizuri barabara hiyo ni nyerere road....may be linatokea quality center...manji
naliona daladala la mbagala hivi kwa mbali wanaminyana..
yah man....lile gongo la mboto sinza au ubungo....humo ndani miksa vikwapa,harufu za fegi,soksi na midomo kunuka...
 
Ebwana eeehh!! People are loaded.Yaani wameshaingiza hiyo kitu.
Vogue ya 2010 tena used toka japan bei ya kununulia bila tax si chini ya myamwezi laki moja....huyu mchizi aiseee kitu ya 2012 brand newww
 
na nikiangalia vizuri barabara hiyo ni nyerere road....may be linatokea quality center...manji

yah man....lile gongo la mboto sinza au ubungo....humo ndani miksa vikwapa,harufu za fegi,soksi na midomo kunuka...
hii imenichana mbavu..kama ulikuwepo maana watu wengine akiamka asubuhi anajifikiria yeye tu,.hatufikirii wengine pua zetu..
 
Wakiwa nazo ...MAFISADI!
Wakizikosa........WALALAHOI
Usalama u wapi?

Picha hii inasikitisha coz inaonyesha interaction kati ya UTAJIRI uliobobea, na UMASIKINI uliosoma(muuza-magazeti ).
Tunategemea kitazaliwa kitu gani kati ya gap ya makundi hayo mawili?
Kukitokea fujo mtaa huo, nani atakuwa na hofu zaidi ya kupoteza alicho nacho?
Kati ya Tajiri na Masikini, ni nani anahitaji zaidi AMANI?
TUKUSAIDIEJE?
 
Vogue ya 2010 tena used toka japan bei ya kununulia bila tax si chini ya myamwezi laki moja....huyu mchizi aiseee kitu ya 2012 brand newww
sounds like you into car dealership mtu wangu..wahindi hawendeshagi yale madude mchana,atakuwa mbongo tu huyo..si unajua mambo ya kuchapa..system up windows down.
 
Ha ha ha.......Mkuu NN hiyo kitu sio ya kawaida kwa mtanzania wa kiwango cha dola 1 kwa siku kipato. hii kitu kodi yake naamini inaweza kujenga madarasa kadhaa kwenye kata...
Mbona gari la kawaida sana hilo
 
Vogue ya 2010 tena used toka japan bei ya kununulia bila tax si chini ya myamwezi laki moja....huyu mchizi aiseee kitu ya 2012 brand newww

Watu wana mawe and are well connected,if you dance within the right inner circles the term impossible vanishes from your vocabulary list.TRA,Maliasili,immigration,Customs and the like are just your play things.Last time i checked a girrafe passed through the airport unnoticed like Huddini was behind it.
 
Back
Top Bottom