Evolution

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Wana jf
naomba kujua, kwanini
katika hatua za "evolution" hatuoni viumbe walio evolve nusu e.g nusu chura nusu mjusi, nusu mjusi nusu ndege au nusu mjusi nusu sokwe? Badala yake tunaona chura kamili,mjusi kamili?
Nawakilisha.
 
Mbona vipo?
Evolution yenyewe imekaa on some of the organs.
Umewahi kuchunguza respiratory organs ya viumbe kama amphibians ambavyo ni kati ya aerobic na anaerobic?
sio lazima waonekane hivi
 
If you still believe in A THEORY that has been proved wrong by science than you need an update.

EVOLUTION means cretures have change with time acording to needs to feet in their environment. Because it is wrong, and because nothing happens by chance that is why hamna creatures kama uliowataja. On other terms kama still hujaelewa than unadisaprove kua GOD ni mkwasi wa kuumba. Hata Ma atheists wanajuwa kuwa nothing happend by chance lakini kuna supreme being ambaye amepanga hivyo ni sawa na kusema GOD ndiye aliye design vyote hivyo.
My religion consists of a humble admiration of the illimitable superior spirit who reveals himself in the slight details we are able to perceive with our frail and feeble mind.
 
Mkuu, hata ngozi ni organ, ila hatuna mchanganyiko wa manyoya na magamba.
Btwy hata kama organs zipo katika ku-evolve lkn bado hatuoni viumbe walio nusu, why?
 
If you still believe in A THEORY that has been proved wrong by science than you need an update.

EVOLUTION means cretures have change with time acording to needs to feet in their environment. Because it is wrong, and because nothing happens by chance that is why hamna creatures kama uliowataja. On other terms kama still hujaelewa than unadisaprove kua GOD ni mkwasi wa kuumba. Hata Ma atheists wanajuwa kuwa nothing happend by chance lakini kuna supreme being ambaye amepanga hivyo ni sawa na kusema GOD ndiye aliye design vyote hivyo.
My religion consists of a humble admiration of the illimitable superior spirit who reveals himself in the slight details we are able to perceive with our frail and feeble mind.

Mkuu una-source yoyote inayoonesha wazi kuwa theory ya evolution imekuwa proved wrong? Pls nishirikishe.
Creation nayo inautata wake based on a particular religion.
 
Back
Top Bottom