Everybody has at least one addiction. What's yours?

Wenye addiction na drinks ni wengi kumbe!
Bht soda nasikia zinatoa tumbo ile mbaya .... Ukifikiria Hilo unaweza kuacha labda

hahaaa kwangu zimedunda basi maana by now ningekuwa kama nina faibroids......mmh ila siku hizi my tummy mmh!!!!
 
hizi addiction zinakuwa za kujitakia au? hebu nguli tupe msaada..............
 
Mie addiction yangu ni kuingia Jf na kuchangia mapost,kusoma.Ili mradi muda mwingi nipo jf(inanilostisha sana hii addiction)
 
Mie addiction yangu ni kuingia Jf na kuchangia mapost,kusoma.Ili mradi muda mwingi nipo jf(inanilostisha sana hii addiction)

Mimi nilikuwa nayo sana ikaiishia mwaka jana mwishoni. Kuna member 1 alinisaidia sana siku hizi hata ikipita siku bila kuingia hainisumbui sana
 
Mimi nilikuwa nayo sana ikaiishia mwaka jana mwishoni. Kuna member 1 alinisaidia sana siku hizi hata ikipita siku bila kuingia hainisumbui sana
nisaidie na mimi basi maana hili nalo janga...........
 
Mine is watching movies I pay a lot of money for DVDs and cinema halls. wakati mwingine silalali usiki kucha macho kwenye TV
 
nisaidie na mimi basi maana hili nalo janga...........

Na mie nahitaji msaada Nguli.

Misaada mingine inakuja kama mkosi au ukorofi utachukia wiki ila ukikaa chini utagundua kumbe Mungu ana namna ya kujibu sala za watu. Si unakumbuka ilinichukua kama miezi 3 kurudi JF na spirit sio kama ile ya enzi zile tena
 
addiction nyingi unaweza kuacha ukiweka nia madhubuti................hasa zile ambazo ukikosa hupati madhara kimwili.

kutia nia thabiti ni ngumu kwa hiyo ni kutafuta madhara ya addiction yako yanayokuuma hasa ukayafikiria kila ukitaka kurudia kwenye addiction yako.
 
Misaada mingine inakuja kama mkosi au ukorofi utachukia wiki ila ukikaa chini utagundua kumbe Mungu ana namna ya kujibu sala za watu. Si unakumbuka ilinichukua kama miezi 3 kurudi JF na spirit sio kama ile ya enzi zile tena

ok.I knoo wora yoo sayin!
 
Ughhh I'm a guy lakini shoes, clothes and cigarettes get me every time, nikiona kitu kizuri dukani yani ntafanya juu chini nikipate, wengine mtasema ni kitu cha ajabu kwa mwanaume kutaka vitu kama hivyo lakini what can I say, c'est la vie. . .:biggrin1:
 
Back
Top Bottom