GY
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,279
- 126
Pesa ya Taifa kama TZ haina wenye uchungu nayo.
Uchungu wa pesa unapimwaje?
Pesa ya Taifa kama TZ haina wenye uchungu nayo.
Sasa nani awaambie hao vijana? Maximo ndio yupo kwenye hiyo leadership ya kuwaambia vijana, kama vijana hawaelewi labda kwa kua Maximo hana namna nzuri ya kuwaambia vijana.
Jamani, maada hii si kuhusu Maximo, bali mwajiri wa Maximo. Nimemtumia Maximo kama mfano mwingine wa kuonyesha ni jinsi gani mwajiri wake anavyoridhishwa na ukawaida wa kila kitu.
Mwajiri wa Maximo anamlipa Maximo na waajiriwa wengine wengi ambao ni Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi, lakini hakuna Ufanisi au mafanikio ya kweli.
Imebakia ni vipodozi na kauli za mwajiri kuwa ana imani nzuri na aliowaajiri.
Je mmesahau alitoa kauli gani kuhusiana na Lowassa?
Rev.Kishoka said:Jamani, maada hii si kuhusu Maximo, bali mwajiri wa Maximo. Nimemtumia Maximo kama mfano mwingine wa kuonyesha ni jinsi gani mwajiri wake anavyoridhishwa na ukawaida wa kila kitu.