Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu, Naomba tujaribu kukitathmini Chama cha Mapinduzi, Mimi nakipa 0% Kwasababu toka kimeanza ni miaka chungu nzima na hakikustahili kuwa hapa kilipotuweka. Toa tathmini yako kwa asilimia na toa sababu.
That is not realistic, can you describe how you came out with that good evaluation --0%!
I believe they are below 0%, please can you defend that 0%.
Hiyo zero mzee ni questionable! ina maana idadi ya wasomi ni walewale wa 1977, shule, hospitali, barabara, makazi, na mashangingi ya vigogo, ndege ya rais, rada, Iptl, richmond, meremeta, kagoda, and so many ni vile vile vya 1977?Habari wakuu, Naomba tujaribu kukitathmini Chama cha Mapinduzi, Mimi nakipa 0% Kwasababu toka kimeanza ni miaka chungu nzima na hakikustahili kuwa hapa kilipotuweka. Toa tathmini yako kwa asilimia na toa sababu.