Wazungu hawawapendi wabongo kwa sababu vitumbo, hakikisha huna tumbo hata kidogo, bali kifua ndo kiwe mbele, na usiwe na misuli mikubwa kama baunsa, uwe tu smart, pia tabasamu na usiwe na jeuri, wazungu wanatongozwa kwa tabasamu na sio style za kutongozana kibongo.
kama uko hivi basi uwe unaenda sehemu za kitalii, jaribu mara kadhaa, haifiki mara tatu utafanikiwa
nenda Kigamboni, Zanzibar, kwenye Bar za waliko wazungu Dar, anza maongezi kwa ucheshi au kiomba sigara, au kucheza pamoja, lakini respect.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.