Europe claiming compensation from Africa-what is your take?

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,809
8,861
wakuu heshima mbele,

Today while preparing to go earn my daily bread my eye was cought by a news clip on Al JAZEERA. Kwamba Europeans and Britons precisely, they want to seek compensation from Libya for victims of IRA fighters (rebel group in Ireland) who lost their loved ones because of the rebel`s activities. They argue that Libya is responsble because evidence available shows that Libya supplied weapons to IRA which were used to kill these Irish!

Folks, I was grossly left speechless. Do these whites have moral ground to ask compensation for arms supplied by Libya? If we Africans could demand compensation what would happen? Iam not condoning whatever Libya did, lakini naona ni double standard kubwa sana ya hawa wazungu..eti leo wanadai fidia kwa watu wao waliokufa??? Are they real?

Millions of Africans have died and they continue dying at hands of dictators supplied and financed by whites. Our leaders have connived with these people to rob us whatever we have...and they still have audacity to claim compansation? Ama kweli damu ya mwafrika haina thamani. I honestly think that..these British or Irish (whatever their name)..wanafanya hivi kwa kuidharau Africa not Libya only. Kuanzia kwenye slave trade, na wizi na mauaji waliyoyafanya na wanaendelea kuyafanya..leo wanatwambia kwamba watu wao walikufa kwa ajili ya silaha zilizotoka Libya and they need compensation?

I will be interested to follow this case/argument to its logic conclusion.. maana na Gordon Brown kaingilia kati kusupport "victims". I really feel bad as an African. This is an insult to show that our blood has nothing, no value....if we may ask compensation..well..ofcourse the western justice system can never entertain such compensation claim from Africa..(others tried and failed).

I would argue any African interested in the dignity of African person..to follow up this case..hawa jamaa..kwa kweli they have gone over and above. our people here in Africa continue dying every day on the same weapons supplied and financed by them..and here they come..asking compensation. Very sad indeed. They dont have moral or any ground to demand compensation. They have inflicted untold suffering to our being. We should say enough is enough.

Masanja,
 
Ndugu Masanja,

Unaifahamu vizuri maana ya neno "double standards". Neno hilo kwa kiswahili sijui ni lipi, ila nadhani halipo. Kuwa na neno la kitu fulani ina maanisha kuwa kuwa hicho kitu ni "common" hapo mahala! Hivyo basi, neno double standard kuwepo kwenye lugha yao inaonesha kuwa ni jambo la kawaida kabisa kwao. Hao jamaa kwa double standard ndo wenyewe.

Ingekuwa Africa ina viongozi wenywe vichwa (yaani wenye akili timamu) hapo hapo ndo nasisi tungelamba bingo! Yaani wangeongea vizuri na Muammar halafu wamshawishi alipe hiyo fidia (ikiwezekana hata nchi tofauti zikaichangia Libya kwa pesa kama fidia hiyo ni kubwa sana).

Baadaye miezi/mwaka hivi nasi tunaanza kudai fidia kibao kwa vitu ambavyo ulaya wametuuzia na vikatuua au kutudhuru! Kwa Tz tunaanza tu kiulaini na yale mabomu ya Mbagala, tunaingia kwenye silaha walizomuuzia Idi Amin halafu akatuvamia, tunaenda kwenye kile kivuko nyanya kilichokuwa kinaua watu kila siku kigamboni kilichokuwa kimenunuliwa toka UK, halafu tunaenda MV Bukoba (nayo ilikuwa nyanya-na wao walikuwa wanafahamu). Halafu tunaanza kudai fidia ya zile kemikali chafu wanazotupa (dump) afrika kila leo. waTz tukianza ishu ya radar, ndege ya raisi na narushwa ilotembea basi itabidi watugee bure tu hiyo Radar. Fidia ya watumwa, madini, maliasili na vingi vya kale tunavicha ili tuanze na cha mtoto (yaani vitu vidogo vidogo kwanza kama mabomu Mbagala nk). Halafu tunawarudia tena na sigara zenye sumu kali wanazotengeneza kuzileta kwetu kuuza (ingawa viwanda ni vivyo hivyo, sigara za kupeleka Afrika na Asia huwa zinatengenezwa na sumu kali zaidi na pia zinakuwa na addiction rate kubwa zaidi)

Infact, mimi niliposikia hivyo nilicheka na kusema kuwa ama kweli duniani kuna mambo na akutukanaye hakuchagulii tusi! Nikajisemea hawa jamaa kweli wanatuona sisi mbumbumbu! Kwani tukianza kudaina fidia sidhani kama kutakuwa na haja ya waTz na wa afrika engi kufanya kazi tena.
 
Last edited:
Mkuu Choveki,

Neno "double standards kwa kiswahili unaweza kusema ni upendeleo maalum kwa watu fulanifulani. Katika upendeleo huo kunakuwemo manufaa kadha wa kadha.

Sasa wazungu tangu miaka ya ukoloni wamekuwa wakipenda kuwatumia watu fulani fulani katika kutimiza matakwa yao katika sehemu mbalimbali duniani.

Ukianzia Afrika, hadi Asia kwenye nchi za Pakistani na Afghanistani, utakuta kuna makundi fulani ya watu ambao ndio wanaonekana wanaweza kutimiza ajenda zote za ubeberu.

Nchi nyingi zilizoendelea zimekuwa ziku zote zikiingiza silaha katika sehemu nyingi duniani bila kuwepo "attention".

Nchi kama Israel, Sri-Lanka na maeneo mengine zimekuwa zikitumia silaha (military hardware kama inavyojulikana) katika vita mbali mbali ndani ya Lebanon, Upalestina na kule Sri-Lanka kati ya Jeshi na wapiganaji wa Tamir Tigers.

Swali la kujiuliza ni kwamba mbali ya hii "official export embargo" ya UK na Israel, pia China, Russia na nchi zingine je vipi kuhusu wauzaji silaha wa Ulaya "arms dealers" ambao wanauza silaha kwa vikundi mbalimbali kama vile Tamir Tigers, LRA, kule Gaza na sehemu zingine, je ikifika siku ya kusema kulipwe fidia kwa wale walioathirika je watalipa?
 
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi.

They will do anything possible to ensure their societies continue to prosper and dominate. On the other hand as Africans, we do all what is possible to make sure only a few individuals continue to prosper and rob the majority. Yesterday's Q&A tells it all!
 
Yaani kesi hii ni tamu sana...Wajanja wawanyamazie kimya huyo hakimu wao atoe maamuzi halafu aweke precedent....

Baada ya hapo tunajipanga kama WAYAHUDI walivyofanya na kuwalundukia kesi za kila aina kuhusu silaha zao zinazotumika kutumaliza huku.

Hawa jamaa ndio wanaongoza kupinga UN CONVENTION ON SMALL ARMS kwa kuwa inataka kuanzisha system ya kutrack hizi silaha zao kwa kuogopa kuwa liable. Sasa leo baada ya kubanwa na raia wao kwa kumuachia yule jamaa wa kilibya basi wanadhani hii ndio gear ya kuwatuliza....Waache walifungue lisilofungika...

omarilyas
 
Last edited:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom