***Euro2008***

Wakuu nimerudi baada ya kuomboleza kipigo cha Moscow.
Hii karata ya leo naona mshaichangamkia...je nani zaidi jamani?

Link safi ya gemu hii hapa ... http://en.euro2008.uefa.com/

Weekendi njema!

looh bado tu ulikua waomboleza???pole sana lakini ndio manchester united hao wakikutia adabu waisikilizia ipasavyo...muwe na adabu vijana!!

naona croatia wanaongoza dakika inakwenda ya sabini!!
 
Vijana wa Kijerumani wameanza vizuri

German 2 Polland 0.

Group C nao kesho sijui watatoa uhondo gani.
 
Vijana wa Kijerumani wameanza vizuri

German 2 Polland 0.

Group C nao kesho sijui watatoa uhondo gani.
kwa kweli leo wajerumani wametoa uhondo!macho kwa kesho ni balaa!maana group la kifo si mchezo mama!hasa italy na holand kesho ni balaa!
 
looh bado tu ulikua waomboleza???pole sana lakini ndio manchester united hao wakikutia adabu waisikilizia ipasavyo...muwe na adabu vijana!!

naona croatia wanaongoza dakika inakwenda ya sabini!!

hahahaha...Mtaalam..basi mwenzio nitazoea.

Meanwhile mjeru naye kamtembezea Poland kibano cha nguvu!
 
dah wajerumani kusema kweli walitandaza soka la nguvu la kushambulia na ukuta wao ni mzurikwa kweli...so far podolski sijui dodoki sijui poboski ndo anaongoza kwa magoli kashajtilia kimiani bao zake mbili looh!!
haya tujisubirie kundi letu la kifo leo..shikamoo jazz france watoane jasho na waromania ila game ya pili ndo natabiri itakua ya kufa mtu
 
Vijana wa Ureno (Portigal)ndo watakuwa mabingwa wapya wa Ulaya.

Kudos, Portigal
 
Wenyeji wa mwaka huu wote vibonde GERMANY,PORTUGAL,SPAIN watafika robo fainali kasheshe group C but ningependa AZURI & ORANJE wapite
Siwapendi FRANCE
 
..shikamoo jazz france watoane jasho na waromania ila game ya pili ndo natabiri itakua ya kufa mtu

Mkuu usije ukawa dissapointed, hawa Netherlands wamuamua kuacha kucheza soka la kuvutia (kama walivyofanya Brazil)....inaweza ikawa mechi kubwa lakini isiyovutia! Tungoje tuone.
 
In descending order: Germany, Portugal.
Mzimu wa underperfomance utawaacha Spain & Netherlands?
 
Mkuu usije ukawa dissapointed, hawa Netherlands wamuamua kuacha kucheza soka la kuvutia (kama walivyofanya Brazil)....inaweza ikawa mechi kubwa lakini isiyovutia! Tungoje tuone.

yah game zingine huwa zatarajiwa ziwe za kufa mtu lakini wapiiii..anyways lets hope wadachi watajitahidi dis tym wavuke kwenye hao ma shikamoo jazz wazeee france na italy..maana wana gundu la kufa mtu
 
Haya FRANCE wameshindwa kumfunga ROMANIA ngoja tusubiri ORANJE &AZURI
 
haya france ndo haooo wametoa draw na romania bila bila wit jus a single shot on target dakika zooote 90,ambao kwenye hili kundi ndo de underdogs....next matches wata face italy na wadachi sijui ka watapita hata hili kundi!!
lets wait for the next one nw
 
Hawa TBC mbona wanatuzingua
Kama hawawezi si wawachie Chanel 10,ITV au STAR TV
 
haya france ndo haooo wametoa draw na romania bila bila wit jus a single shot on target dakika zooote 90,ambao kwenye hili kundi ndo de underdogs....next matches wata face italy na wadachi sijui ka watapita hata hili kundi!!
lets wait for the next one nw

Very sad game for France.Yaani hamna kitu.
Hata mie nasubiri hio ya Italy na Netherlands kwa sasa.
Naomba wacheze soka la nguvu na angalau kuwepo na mabao.
 
Very sad game for France.Yaani hamna kitu.
Hata mie nasubiri hio ya Italy na Netherlands kwa sasa.
Naomba wacheze soka la nguvu na angalau kuwepo na mabao.
kwani jamani mnasahau FRANCE ndo huwa anza yao!safari bado wataamka tu
 
Back
Top Bottom