samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Umoja wa ulaya nao unatakiwa umfikishe simba mahakamani ili athibitishe tuhuma zake hizo nzito.
kosa la huyu mama (CCM) ni kuingiza mataifa ya nje kwenye siasa chafu dhidi ya CHADEMA. wamejaribu kila mbinu dhidi ya CHADEMA, hazijafabikiwa kwa kiasi walichotegea, kama vile
-CHADEMA chama cha kikabila , WACHAGA
-CHADEMA chama cha kidini, WAKATOLIKI
-CHADEMA kinachafua amani nchini, kutoa serikili kwa nguvu
sasa wameona waguse na nchi za ulaya, mara mia wangesingizia nchi za africa, au Asia hata South America, wenyewe wameenda europe , mhhh
na mimi nawalaumu CCM kama chama, huyu mama hatakiwi kuongea mbele ya watu, ni bora aongee kwenye vikao tu huku milango imefungwa.
Sidhani kama hua anachambua mambo yake kabla hajaongea, na haya yote siamini yeye ndio amefikiria na kuongea, lazima kuna vilaza zaidi nyumba yake ndio wamemshauri , na yeye akabeba kama vilivyo.
Huyu mama anatakiwa awe anafungiwa chumba kimoja na Makamba waongee.
Hilo la Uchaga na Ukatoliki ni kweli kabisa halina ubishi! Chadema iko kikatoliki na uchaga zaidi!
Khaa! Mkuu hapo umeua kabisa. Hata kama SS anajifanya bingwa wa mipasho,ukimpa hiyo lazima atakaa kimya tuu.katibu mkuu msaidizi wa wizara ipi? hao si ndio watendaji wa wizara? ni bora apewe wadhifa pale Ikulu , na amini kuna vitengo vingi tu anaweza akafanyia kazi bila ku bugudhi kazi ya Rais , kwani Mama Salma pale Ikulu haitaji "wasaidizi wa ndani"?
Mkuu humjui Makamba nini? Hiyo ni hatari sana kwa SS kwani umesahau Makamba alipokuwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi.Huyu mama anatakiwa awe anafungiwa chumba kimoja na Makamba waongee.
Ataishia kumrembulia macho Ambassador Clark tu, ujinga na ulevi wa madaraka vimetuzidi.Atajieleza kwa lugha gani jamani? Uuuuuuuuwi!
Hilo la Uchaga na Ukatoliki ni kweli kabisa halina ubishi! Chadema iko kikatoliki na uchaga zaidi!
But the story remains the same kwamba EU have denied the claims.
Hiyo habari ya EU wapi ambapo EU wamesema hayo madai ni uwongo (lie)?
Pia tafsiri kwamba huyo balozi wa EU atawasiliana na Simba KUMTAKA atoe maelezo juu ya shutuma hizo nayo sio tafsiri sahihi ya habari. Tafsiri halisi ni kwamba balozi atawasiliana na simba ili kujua/ kupata ukweli wa chanzo cha madai yake.
Hakuna sababu ya kuongeza maneno yetu kwenye habari ambayo tunaweza kuituma kama ilivyo.