EU calls for renewal of government of national unity in Zanzibar

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Umoja wa Ulaya(EU) waitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa ili kusuluisha mgogoro wa kisiasa.

Mpaka sasa Umaja wa Ulaya (EU) wako katika mazungumzo na Rais John Magufuli na wana matumaini ya kukubalika kwa hoja ya kukijumuisha katika Serikali chama kikuu cha upinzani CUF.
========
EU is in negotiations with President John Magufuli’s government hoping that he will initiate measures to resolve the crisis and eventually include CUF in the government.

The European Union has maintained minimum contact with Zanzibar President Ali Mohammed Shein since its observer mission, led by Judith Sargentini, declared the re-run unacceptable.

The European Union has called on Tanzania to urge the government of Zanzibar to re-establish a government of national unity (GNU) on the isles.

The EU ambassador to Tanzania Van de Geer told The EastAfrican that Europe expects the stand-off between the Zanzibar government and the main opposition party, the Civic United Front (CUF), to be resolved soon.

Mr de Geer said that the EU is in negotiations with President John Magufuli’s government hoping that he will initiate measures to resolve the crisis and eventually include CUF in the government.

The CCM government of Zanzibar ended the GNU after the March 20 election rerun, boycotted by CUF, gave it all 50 seats.

The European Union has maintained minimum contact with Zanzibar President Ali Mohammed Shein since its observer mission, led by Judith Sargentini, declared the re-run unacceptable.

But while CUF appears to be ready for dialogue, sources in CCM and the Zanzibar government say that the idea of a coalition government in the isles is buried, although it exists constitutionally.

“It’s too late to have any dialogue with CUF since the party does not even recognise the Zanzibar government. They should wait for the 2020 elections,” a CCM leader said in Zanzibar.

Last year, before the October 25 general election, Salmin Awadhi Salmin (now deceased), who was the CCM Chief Whip in the Zanzibar House of Representatives, threatened to table a private motion to press for the government’s support towards a referendum to ask Zanzibaris if they still wanted a coalition government.

And in September, during a House session, Mohamed Said Mohamed, the CCM member of parliament for Mpendaye, led some backbenchers to demand the amendment of the Zanzibar Constitution to scrap the section that allows a coalition government. They failed.

Despite pressure from CCM cadres calling for the end of GNU, the government has remained hesitant to change its Constitution.

Owing to history of colonialism and the 1964 Zanzibar revolution, elections in the isles have been tightly contested ever since the introduction of multiparty politics in 1992.

The 1995, 2000 and 2005 elections were all followed by post-election chaos, with CUF believing that CCM had rigged the vote.

In 1997, CUF activists were arrested and charged with sedition in the run-up to a by-election, and in 1999 the Commonwealth brokered the first attempt at reconciliation between CCM and CUF, commonly referred to as Muafaka I.

The failure of Muafaka I led to Muafaka II, which also failed, until after 2005 when then Tanzania president Jakaya Kikwete, who had just won office, facilitated the talks that laid the framework for the GNU.

In July 2010, Zanzibaris approved the GNU by 68.7 per cent.

Source: The east african
 
Hawa wazungu nao wasitusumbue, mambo yetu ya ndani yanawahusu nini. Wao wenyewe wanashindwa maswala ya kwao EU waende zao huko, wanajifanya kutusaidia kumbe wanatupumbaza shenzi zao kabisa.
 
The government should stick on Zanzibar people's decision based on revised election .

This is a legally bound decision!!
 
Hawa wazungu nao wasitusumbue, mambo yetu ya ndani yanawahusu nini. Wao wenyewe wanashindwa maswala ya kwao EU waende zao huko, wanajifanya kutusaidia kumbe wanatupumbaza shenzi zao kabisa.
Kuna hatua za kufuata kama hukubaliani na maamuzi ya wananchi...zifuatwe....

EU haiwezi kua suluhisho lakini sheria halali za nchi ndio suluhisho!
 
Haya ndio matatizo ya kupewa misaaada na umoja wa ulaya. Wanataka mfanye Demokrasia ambayo aina faida yoyote kwa nchi yetu
 
Hawa EU sijuwi wamewekeza nini Tanzania kushindwa kuingilia kati, wanaogopa nini? CUF haiwezi kuunda serikali shirikishi haitaki kabisa wao wanataka haki yao ya Urais. kama wanashindwa waseme tu sisi tumewekeza Tanzania na ni frend zetu hivyo kwa Zanzibar tu hatuwezi fanya lolote.
 
Kuna hatua za kufuata kama hukubaliani na maamuzi ya wananchi...zifuatwe....

EU haiwezi kua suluhisho lakini sheria halali za nchi ndio suluhisho!
Mbona malaria na kujenga barabara mnawahusisha au sio mambo yenu ya ndani,majizi nyie maccm na uporaji wa haki za watu.
 
Mbona malaria na kujenga barabara mnawahusisha au sio mambo yenu ya ndani,majizi nyie maccm na uporaji wa haki za watu.

Uchochezi huo mambo ya Malaria na miundombinu yanatuhusu sote lakini kutawala hata kwa nguvu haiwahusu.
 
Mbona malaria na kujenga barabara mnawahusisha au sio mambo yenu ya ndani,majizi nyie maccm na uporaji wa haki za watu.
Kwa hiyo wakihusishwa ndio suluhisho??
Nyie bavicha vipi...mshaanza kutiana kata funuwa baada ya kushindwa kushika kuta?
 
Hawa wazungu nao wasitusumbue, mambo yetu ya ndani yanawahusu nini. Wao wenyewe wanashindwa maswala ya kwao EU waende zao huko, wanajifanya kutusaidia kumbe wanatupumbaza shenzi zao kabisa.
Hivi mnaweza kuendesha nchi zenu bila hao Wazungu??
 
Justice Zanzibar. Serikali haramu ya Jecha
ipigwe chini Maalim na watu wa Zanzibar wapewe haki yao.
 
Back
Top Bottom