Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,349
Wadau nimeweka attachment hapo ya Package, jinsi wale wachina walioingia ubia na TBC wanavyokuja kiania yao. Fees yao ilikuipata decoder kuna bei mbili. ukilipa elfu sabini, wanakupa decoder na vifaa vyote mkononi fundi umtafute wewe wa kukufungia, na hata ikiharibika matengenezo yake unagharamia kwa kuwalipa mafundi toka TBC. pia wanakupa antena ndogo ya ndani na month subscription ni tshs 9000 tu kwa mwezi.
Bei ya pili ni ths 127,000 wanakupa decoder na fundi wao anakuja kukufungia hadi home kwako, antena bomba inafungwa nje ya nyumba, ikiharibika unawapigia simu wanakuja kukurekebishia home kwako free of charge. malipo kwa mwezi ni ile ile tshs 9000/-.
Habari nyingine ni kwamba ndani ya hiyo decoder kuna TBC2 ambayo nadhani itakuwa launched very soon, na hiyo ndo itakuwa inaonesha WORLD CUP. Inamaanisha kwamba kama hutakuwa na hii decoder hutaweza ona Kombe la dunia kwenye channel yeyote ya hapa home unless uwe na DSTV. Nimeipenda hii sababu sie wadau wa etv sasa twaweza ifaidi upyaaa though kwa kulipiaa. kwa ufupi itakuwa na channel kama 29 hipi. KITU KIPO LIVE WADAU...........