Etiii!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
May 17, 2011
660
99
Hawa watu wanaotumia jf lv conct kusaka wachumba huwa wanafanikiwa?
Na nyie mnaofanya hivyo muwe mnatupa ushuhuda, sio tunakuwa wote kuchangia halafu kitu chako unakula mwenyewe.
 
Ungeandika kule sasa....huwezi kuuliza wanasiasa swali linalohusiana na siasa MMU au JF Doctor!
 
kuchangia kweli ni uchaguzi wao
hata kama ni JF member lakini bado
wanaweza kufanya siri au LA..
 
Back
Top Bottom