eti!!!

klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,648
5,139
unajifanya brazameni,tozi,bishoo halafu hela za starehe unaomba! aaakh! acha izo bana! .tafta kazi ufanye, acha kuturogea mitaji yetu.
 
unajifanya brazameni,tozi,bishoo halafu hela za starehe unaomba! aaakh! acha izo bana! .tafta kazi ufanye, acha kuturogea mitaji yetu.
aaaah, nani tena huyo mkuu???.
muwezeshe basi, wahenga wanasema:
"MTU AKIKUOMBA SAMAKI USIMPE, BALI MPE NDOANO NA MFUNDISHE KUVUA"
 
aaaah, nani tena huyo mkuu???.
muwezeshe basi, wahenga wanasema:
"MTU AKIKUOMBA SAMAKI USIMPE, BALI MPE NDOANO NA MFUNDISHE KUVUA"
njemba flani tu , kifua kikubwa ,madev kwa wingi, akiwa na madem ana mikwala kama afande lakini mbaya yao njemba inadoea KULA KWA JIRANI. aakh wanakera!
 
Mungu ameagiza "ASIYEFANYA KAZI NA ASILE" - hao ndio matapeli wa mjini - anapoomba lazima anatumia ujanja mwingi mwingi sana - ila mwisho wake atakutana na wajanja -

Anaomba halafu anapewa - kisha ana spend kwenye starehe ............... sio sawa kwani anachezea "jasho la watu wengine kwa kujifanya ana shida" kumbe ni uvivu

UKIWA NA BABA, KAKA RAFIKI KAMA HUYU UNAFANYAJE??? kweli anahitaji msaada wa Mungu abadilike - otherwise ......... akiomba/utapeli akikosa wa kumpa - anaweza kuwa - mwizi, kujiuza, ... apate hela
 
hahaha watu mnachekesha jamani kama anakuomba sana si unampotezea tu

nikimpotezea ataenda kwengine kuendeleza hili tabia lake baya sana la kiCCM (kuomba misaada). bora kama linasoma hapa jf lijirekebishe tu.
 
nikimpotezea ataenda kwengine kuendeleza hili tabia lake baya sana la kiCCM (kuomba misaada). bora kama linasoma hapa jf lijirekebishe tu.

Mkuu inawezekana wewe ni mgumu kuelewa, inawezekana huyo ni katika wale jamaa wa vidole juu na zali limekuangukia wewe!
 
Ombeni nanyi mtapeewa, bisheni nanyi mtafunguliwa, kesheni nanyi mtaona tena wapeni watu vitu pasipo kutarajiwa kurudishiwa. :LISILOWEZEKANA KWA MWANADAMU, KWA MUNGU LINAWEZEKANA:
So why not!!
 
Back
Top Bottom