Eti wanawake wenye ndevu wana-akili sana!?

Nimesikia hizi habari siku moja kwamba ukipata bahati ya kuoa mwanamke mwenye ndevu za asili (sio wale wanaoota ndevu kwa sababu ya kuchubua na madawa mengine) huwa wanaakili sana za kimaisha na jinsi ya kuishi na wengine. Niataka kukubaliana nalo hili sababu nimekutananao ni wapole na wanyenyekevu mno.
Je, ni kweli?

Hizo ni story tu (myth) siamini kama zina ukweli wowote. I believe wahenga walizitumia ila kuondoa inferiority compley wadada wenye ndoa na kuwatibu kisaikolojia kwa kuifanya jamii iamini kuwa ndevu siyo ishu kwa wadada ila inamaanisha akili za maisha!
 
Back
Top Bottom