Eti wanawake wengi wanaamini wanaaume ni wadhaifu kuliko chombo chochote!!duniani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Yawezekana ni kweli kwa uhalisia lakini hii nimesikia kwenye kipindi cha ndoa nkaona nikuunganishe na wewe tupeane ukweli je ni kweli wanawake wengi wanatyukamata wanaume sababu wanaamini wanaume wengi ni wadhaifu kuliko chombochochote duniani..na imani yao ndio inayotufanya hata wenye ndoa zao wasiomjua mungu kuanguka na kushia kutunza nyumba ndogo na kuacha wake zao walioamini na kudai wametoka kwa mungu.....

Kwako mpwa mawazo yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom