Eti wanaume sio wenzetu??na je wanawake si wenzenu!

Hayo mambo yapo tu katika makaratasi, niko katika hiyo sector naona mifano hai. wanawake wanatia huruma mno, wengi hawajasoma - cases ambazo hazijafika katika vyombo vya sheria ziko kibao, na ninapozungumzia hilo suala nazungumzia the majority Tanzanian widows, mambo yote yapo wazi but bado hapati haki zake. Achana na widows hawa wa mjini wana support kibao and they know their rights. Hivi unafikiri cause sheria zipo basi zinafuatwa- believe me ni contrary hasa katika hio delicate matter.[/QUOTE

Asha mwanamke asiye na uwezo wa kufight kisheria basi hata uwezo wa kuwa na mali binafsi atakuwa hana. Maana ni wale ma house wife. Kwa hiyo hapo hata solution ya kuwa na vyake kwake aiwork

Ogopa strength of a woman. Anaweza kua hajasoma na ni house wife na akafanya maendeleo, nina mfano hai wa mdada kaishi na the husband for 15 years kazaa nae watoto sita, then eventually the man kamuacha na kuoa dada mwingine (in fact ni housegirl). Alipomuacha the wife the husband akaja kupata taarifa the wife amejenga na ana dala dala 2!!!!
 
wewe Asha, jitahidi kuwa na uvumilivu tu kwenye ndoa,usijali,
mungu yu pamoja nawe
 
Ogopa strength of a woman. Anaweza kua hajasoma na ni house wife na akafanya maendeleo, nina mfano hai wa mdada kaishi na the husband for 15 years kazaa nae watoto sita, then eventually the man kamuacha na kuoa dada mwingine (in fact ni housegirl). Alipomuacha the wife the husband akaja kupata taarifa the wife amejenga na ana dala dala 2!!!!

Asha D,

Usichanganye kusoma shule na kuwa na akili...Kuna watu wengi sana wana akili ya hali ya juu ila hawakupata bahati ya kwenda shule. Hawa si wajinga. Hata hivyo kuna mijitu kibao imeenda shule lakini haielewi lolote na especially mambo rahisi ya maisha. Hawa ni wengi sana na ndio maana watanzania wengi tunaonekana kama ni mabwege!
 
Of course in any case there are exceptions.

Ogopa strength of a woman. Anaweza kua hajasoma na ni house wife na akafanya maendeleo, nina mfano hai wa mdada kaishi na the husband for 15 years kazaa nae watoto sita, then eventually the man kamuacha na kuoa dada mwingine (in fact ni housegirl). Alipomuacha the wife the husband akaja kupata taarifa the wife amejenga na ana dala dala 2!!!!
 
Alafu jamani ndoa za siku hizi inakuwa kama mtu unaishi na adui ndani. Full wasi wasi. Thinking of a devil....

...ha ha ha, inachekesha lakini ndio ukweli wenyewe!

haahahaaaa huyu bibi aliona mbali, alisoma alama za nyakati vzr kabisa.

...nyamayao we acha tu. 'Uzuri wake,' tangia mwanzo nasi ilitujengea mazingira ya hiki changu, hiki chake.
Ubaya wake, haikusaidia kujenga umoja ingawa wote tulisukumana kila mmoja kujenga atleast Nyumba ya kwake.

Lakini unapoangalia wanawake wanavyotupiwa virago nje wanapoachwa/kufiwa na waume zao, ndipo napokubaliana na akili za kikongwe kile.
Mtu mzima dawa.

I hope sijaichakachua sredi ya FL1, ni katika kusisitizia tu umuhimu wa maneno ya huyo bwana mkubwa gereji!
 
Asha D,

Usichanganye kusoma shule na kuwa na akili...Kuna watu wengi sana wana akili ya hali ya juu ila hawakupata bahati ya kwenda shule. Hawa si wajinga. Hata hivyo kuna mijitu kibao imeenda shule lakini haielewi lolote na especially mambo rahisi ya maisha. Hawa ni wengi sana na ndio maana watanzania wengi tunaonekana kama ni mabwege!

Sichanganyi Dark city ila ni ukweli usiopinginga alosoma hasa mpaka higher learning institutions, ana access na utambuzi hasa wa vitu vinavyohusiana na haki na jinsi/wapi kuipata kuliko asiosoma hata kama ana akili.
 
Sasa hizo nyumba mbili mlizo jenga mgechanganya nguvu si mgekuwa na bonge la ghorofa?

...ha ha ha, inachekesha lakini ndio ukweli wenyewe!

...nyamayao we acha tu. 'Uzuri wake,' tangia mwanzo nasi ilitujengea mazingira ya hiki changu, hiki chake.
Ubaya wake, haikusaidia kujenga umoja ingawa wote tulisukumana kila mmoja kujenga atleast Nyumba ya kwake.

Lakini unapoangalia wanawake wanavyotupiwa virago nje wanapoachwa/kufiwa na waume zao, ndipo napokubaliana na akili za kikongwe kile.
Mtu mzima dawa.

I hope sijaichakachua sredi ya FL1, ni katika kusisitizia tu umuhimu wa maneno ya huyo bwana mkubwa gereji!
 
jeez mwenzenu katika hali ya mshangao nikiwa gereji nasubiri bajaji yangu ifanyiwe marekebisho madogo madogo
kulikuwa na kina baba pia kina mama na ndoa zao,pia kulikuwa na vijana ambao wako ktk mahusiano g/f na b/f ilianzishwa topic ya ndoa na mahusiano kwa ujumla ,kila mmoja akitoa lawama upande wa mwenzie kama wanawake siku hizi hawashikiki na hawaheshimu ndoa zao,wanawake nao wakatoa lawama nyingi kwa wanaume kuwa wamekuwa wanyama na wanafanya maamuzi ya kikatili sana pasipo kuwa na hekima ,
ndipo baba mmoja anayeonekana wa makamo kidogo akatoa neno lililowaacha watu midomo wazi ,huku likiungwa mkono na wanaume wengine .eti na nyie wanawake mkoje mnawaamini hao wanaume kwani ndugu zenu ,mmezaliwa nao tumbo moja ?tumieni akili zenu za ziada sio kulia ooh nimeachwa bila kitu tumejenga nyumba pamoja ,tumefungua miradi pamoja siku hizi akili kichwani sio kulia lia ovyo..kwani nyie kulwa na dotto ??

"tukamuuliza kwa hiyo unataka tufanyeje ?
Tukajibiwa na wanaume aaah akili zenu sasa sio kila kitu mtafuniwe

wapenzi hebu tudadavue swala hili kwa ujumla ..haijalishi umewowa ama umeolewa mradi tu wote tunatarajia kuingia huko maana kila mmoja anavutia upande wake

jamani kwa hali hii tutafika?vizazi vyetu tutavifundisha nini juu ya ndoa na mahusiano kwa ujumla
haya ni maneno mazito kusemwa na mtu wa makamo ambaye ni tegemeo la ushauri kwa vijana wajiandao kuingia ndani ya ndoa au ambao ndoa zao ni changa ,mi naona alikuwa atnatania tuu,au hana hofu ya mungu,mbinafsi sana,au alimaanisha tutumie akili zetu kutunza ndoa na maisha ya ndani ya nyumba, haya maneno yamenishtua kweli!!!!!!!!!!!!! ,hata nikawaza kimomoyo kuna haja ya kuolewa kweli??????????????????????
 
Ni sawa na wale wanaofundisha kuwa na mafiga matatu mume akikuacha unatia timu kwa mume mwingine. Kwa kweli haya si mafunzo yanayojenga, ni ubinafsi tu ambao ni adui namba moja wa pendo.

haya ni maneno mazito kusemwa na mtu wa makamo ambaye ni tegemeo la ushauri kwa vijana wajiandao kuingia ndani ya ndoa au ambao ndoa zao ni changa ,mi naona alikuwa atnatania tuu,au hana hofu ya mungu,mbinafsi sana,au alimaanisha tutumie akili zetu kutunza ndoa na maisha ya ndani ya nyumba, haya maneno yamenishtua kweli!!!!!!!!!!!!! ,hata nikawaza kimomoyo kuna haja ya kuolewa kweli??????????????????????
 
Yaani inakuwa kama vile unaoa au kuolewa ili uachike. Mguu moja ndani mwingine nje. Kama mtu unapenda sana umimi, bora uishi single aisee.
 
haya ni maneno mazito kusemwa na mtu wa makamo ambaye ni tegemeo la ushauri kwa vijana wajiandao kuingia ndani ya ndoa au ambao ndoa zao ni changa ,mi naona alikuwa atnatania tuu,au hana hofu ya mungu,mbinafsi sana,au alimaanisha tutumie akili zetu kutunza ndoa na maisha ya ndani ya nyumba, haya maneno yamenishtua kweli!!!!!!!!!!!!! ,hata nikawaza kimomoyo kuna haja ya kuolewa kweli??????????????????????

usogope kuingia kwenye ndoa kure11,
utayajua mengi tu humo ndani, kwani haya yanayoongelewa nje si lazima iwe hivyo,
 
Nyinyi wanawake acheni kulalamika, na sisi wanaume tuwe waelewa.
Kila hali katika ndoa hutokea kwasababu maalumu na kila mmoja akijieleza huonekana hana tatizo anaonewa ila ukweli suala la ndoa ni la jinsia zote kuwajibika na kutumia akili maana hakuna malaika kati yetu. Wapo wanaume wanateswa na wake zao wapo wanawake wanateswa. Sasa basi ni jukumu letu sote kusimamia show za ndoa zetu kwa ufasaha.
 
Egyps-women;1900866]Tatizo ni nini hasa?

Tatizo watu wanaishi kwa kutegeana kuwa mmoja akitoka hivi na wewe utoke vile. Hakuna upendo wa kweli, kujitoa na kuvumiliana. Watu wanaingia kwenye ndoa kwa masilahi binafsi na si upendo wa kweli. Uwezi kusema unampenda mkeo/mmeo wakati unafanya maamzi makubwa bila kushirikishana. Wengina wanafikia hatua ya kusema ....uwe na Investment binafsi bila kumjulishwa mwenzi wako.... Huu ni ubinafsi katika ndoa na ni Ushetani naweza kusema. Hizo mali ni za nani kama siyo za familia (baba, mama, na watoto)? Unandika majina ya ndugu kwenye mali zako, si vema uandike watoto wako? Kwenye ndoa tuacheni ubinafsi, tujitowe na tumshirikishe Mungu na siyo kufuata ushauri wa mtaani tu na baadaye tuanze kulalamika eti ndoa ndowano kumbe ni sisi wenyewe tunasababisha hayo matatizo!

Tuko pamoja sana mheshimiwa.

Ndoa haziwezi kudumu kwa sababu asilmia kubwa ya wanandoa wa kisasa mali ni first priority! Yaani kuna mtu alinishangaa kwa nini napitisha mshahara wangu kwenye joint account yangu na mume wangu wakati huyo mdada ni mke wa mtu tena ni mlokole. Yani alinisihi kabisa nifikirie kwanza kwani yeye ndo alikuwa cashier wetu. Nilimshangaa sana. Well hapo ndo nilikuwa nimeolewa now it is 9 years bado sijaona ubaya wa kushare account na mume wangu. Mentality tulonazo ndio zinazoharibu ndoa zetu.

Tuko pamoja sana mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom