Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!

^ sasa mnailamu CCM kuwa inahusika na vijana wenu kuvuta bangi?

Mwandishin wa mada alisema wanaohudhuria mikatano ya chadema ni vijana wengi wavuta bangi. Kitu ambacho anahitaji kuthibitisha kwa kuwa hakina usahihi. Lakini wachangiaji tumeenda mbele zaidi tukaona kama yeye anaona watu wote ni wavuta bangi, huo ni mtazamo wake. Lakini, hata kam wapo jobless na wavuta bangi, nini chanzo cha hali hii? Unaelewa nini kuhusu wajibu wa Serikali katika kuboresha maisha ya wananchi? Unaposema vijana wenu na wewe una maanisha nini?
 
Nani kasema hii nchi ni ya wavuta bangi? tumesema CHADEMA ndio ya wavuta bangi.
 
namaanisha vijana wenu nyie CDM, mimi ni CCM

Nadhani kama vijana wote wanaenda kwenye maandamano ni CDM, ni dhahiri ccm haina watu tena. Hivyo huna hoja. Tuliwaamini tukawapa dhamana ya kuongoza nchi, badala ya kujenga taifa lenye ustawi, mmenga taifa la vijana wavuta bangi. Ondokeni turekebishe nchi yetu.

Ningekuwa mimi ni wewe wala nisingeendelea kujichora hapa.
 
Hao vijana unao ongelea hapa hata kituo cha kupigia kura hawakijui, hivi nyie hilo genge mlaliona kwenye mikutano mbuzi ndio mlishaona ni dili.. Ndugu yangu hii ni Tanzania,kwenye jukwaa hapakosekani washabiki, iwe ya kisiasa au ya kidini lazima watu wafurike.
 
alikuwako makamba na siasa zake za maji taka, akaifikisha ccm hapo ilipofika sasa na wengine tena wanaendeleza siasa zilezile za kimakamba tusubiri tuone mnavyoizika ccm, huko ndio kujivua gamba? nilidhani ccm mpya itaachana na siasa za mipasho kumbe bado hawajajifunza. RIP CCM, RIP MGAMBA
 
Baba wa Binguni natubu kwaajili ya watu kama Tolowski,sawasawa na neno lako Njooni tusemezane ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu kama damu nitazisafisha na kuwa nyeupe kama theruji,baba si kwa akili zake wala mawazo yake anayasema haya bali anahitaji rehema zako na utukufu wako na huruma yako isiyo na kiwango imshukie.Amen.

Baba litazame pia taifa hilo la watu waliopondeka moyo na kukosa matumaini mbele ya watesi wao wanaonekana machafuko lakini kwako baba kila roho ni yathamani mbele zako usiwapite baba,kasikie kilio chao,unapowadhuru wengine baba waguse nawao,kama ulivyosema kwa wana wa Israel Basi sema na kwetu pia.Adui zetu wametuzunguka wanaunguruma kama simba.Njaa,maisha magumu,kukata tamaa vinakaribia kutuzidi nguvu baba tusaidie.

Eiiiimeen!!!
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

Kweli cha arusha noma.
 
Omr,

Kama hata baada ya kusoma michango yote hii hujaelewa hata maana ya umma, serikali na uananchi na nyajibu na haki za kila upande, basi uelewa wako ni mdogo mno lakini hujui hilo. Samahani singependa kupoteza muda na wewe. Ushauir wangu kawaone wenye taaluma yao watakufundisha.
 
Hao vijana wavuta bangi wa cdm ni last octoba tu walisepa kupiga kura.matokeo yake cdm ikashindwa kukamata dola.
Wajitahidi safari ijao wapige kura ebo.
 
tolowiski like ur name, u sound shit bra, that's isn't sound of a man, ur real an assho.... in front of me people like u gat a soap to wash ur mind up.
halla fellows who are really revOLUTIONISTS lets don give a damn, tomorrow 'l be tz pliiz people lik omar wanna mate u. CDM ya everywhere hope for tanzanian
 
Join Date : 28th April 2011
Posts : 52
Thanks:
0
Thanked 6 Times in 4 Posts
Rep Power : 21
 
injinia akikataa kasoro akiwa anajenga daraja hujutia mwishowe….. miye napia tuu
 
Unbeliavable! Tolowski what's going on dear? Hivi kweli Watanzania tumefikia hatua ya kubaguana kiasi hiki? kwamba vijana wasio na kazi sio binadamu? Katika context ya siasa za Tanzania umma unatumika kumaanisha wananchi - hususan wapiga kura. Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yeyote (Tanzania included) kwamba kati ya wapiga kura kuna nyani, tumbili, kuku na the likes. Ni umma, kwa maana ya binadamu -raia wa mahali husika mwenye kutimiza masharti ndio anapiga kura.

Sasa, kama Arusha ina vijana wavuta bangi ambao kwa tasfiri yako si umma (si binadamu) kwa nini Batilda alikuwa anagombea kiti cha ubunge Arusha? Kwa nini ccm walimwaga hela ili mgembea wao achaguliwe? Yule meya wa kuchonga anaongoza sungura? Ni kitu gani hasa kimesababisha hawa vijana wakavuta bangi? Na kwa nini vijana hawana kazi? Naomba nikukumbushe, hakuna mzazi anatamani mtoto wake akiwa mkubwa awe mvuta bangi, muuza machungwa barabarani, muokota chupa, msukuma mkokoteni au hata muuza viberiti ubungo mataa.

Ni utawala mbovu ndio unawataka kuwapeleka kuzimu na ndio maana 'kwa ujasiri na ubunifu' wa kujitafitia ajira basi wanafanya hivyo. Inawezekana kabisa kwa kuuza viberiti hawa vijana hawatakaa wapate hela za kutosha na kujenga makazi yao karibu na wewe huko masaki au karibu na ile nyumba yako uliyompangisha 'mzungu' Oysterbay! Ila wanalipa bill zao kwa jasho lao tena jasho zito! the fact that you wrote this gabbage says more about you that it says about vijana wa Tanzania. You should be ashamed of yourself and on behalf of your parents I sincerely apoligise to all Tanzanian vijana for bringing into this planet such a useless cow!
Asante sana Mkuu kwa reason yako hii inayokuthibitisha kama ni great thinker wa kwelikweli. Hivi is being a CCM member synonymous with being mentally bankrupt? Naona hata hoja zao zinawatambulisha kama watu wenye matatizo katika mfumo wa kufikiri. Kama hali itaendelea hivi basi CCM waanze kufunga virago vyao sasa maana itafika mahali hawataaminika kabisa kuliko sasa ambapo watanzania wana picha moja tu ya wana CCM wa kweli, - wezi, mafisadi na vibakauchumi wasioaminika, kuanzia Rais hadi tarishi.
 
mnnnh kweli aili yako haina akili bw tolowisk mana naona kabis aumejiunga juzi tu kuja kuchafua hali ya hewa humu jamvini
 
Mi nashaka hata wanacdm humu ni wale wale aliowataja tolowski.

Inawezekana wewe ukawa ni mmoja wa wanawake wengi waliochoka kiakili kwa tshirt na vilemba. Maana mikutano yenu hujaa wanawake masikini tena wenye mawazo finyu.
 
<p>
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!
</p>
<p>&nbsp;</p> UNAJAMBAJAMBA TU HUNA ULONENA,MWEHU WA FIKIRA NENDA KUZIMU KAFUFUE AKILI NDO PAKUFAHAPO.MBONA PANA WAZIRI WENU SO RIZIK shoga AU NDO WEYE?KAMUULIZE JK KWANI ALIKONDA AU TENDWA KASEMA CDM KIBOKO,KANAWE USO HARAFU UJE HUMU WEYE KKB NA MLAMBA VYOMBO WA SALIMA JK
 
Back
Top Bottom