Eti wanafanya shooting

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
candy-california.jpg


Hiyo ni katika shooting ya video "Nimpende Milele".
 
wanafanya shooting au wana amshana ashiki zao..!? hapa bongo mimi nadhani tujikite zaidi katika kuamsha yale yaliyo lala kama viwanda na mashamba ya katani na reli..! kuliko kukaa kuiga mambo ya kizungu kumbe hata yale ya kibongo yenyewe hatuyawezi..! utafanyaje aaaaghhhghhh mimi wananiboa tu nadhani bora ninyamaze tuuu:flame:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom