eti wameanza kutuondoa 'mmoja mmoja'

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
kuna jamaa mpinga-chadema utazan mpinga-kristo. jamaa huwa namsalimiaga kwa ishara ya habar yako banaa, uku namuoneshea ishara ya V ambayo tunatumiaga cc ma hadi core wa cdm. lakini leo nimsalimia ivo akaj4bu 'wameanza kuwaondoa mmoja mmoja, bado mmoja . . .'. nikamuuliza, wamemndoa nani? akajibu 'hujui, we kaa hivyo hvyo'. dah, amenipamkisha sana. sjui kama ntaenda khanga pati len.
 
Your loyalty to CDM is questionable!!!!.
Nafikiri una ajenda ya siri. Kajipange upya.
 
Wanawaondoa wakiwapeleka wapi? badala ya kumuuliza aliyekuambia unatuuliza sisi kana kwamba tulikuwepo!!!!!!!!!!!!!!!
Ungesema mnakopelekwa mimi nadhani ndo ungeshauriwa vizuri. Kwa heri....
 
Nawasiwasi eneo uliyopo na ukapost thread hii, mambo ya weekend hayo. Tulia mkuu na uandike vizuri.
 
Hili huni la magamba tu. Linajifanya cdm, hiki si chama cha wahuni huni. Toka zako utuondolee upupu humu.
 
Alafu huyu ni dada,eti hajui kama ataenda khanga party......leta habari za mishiko
 
kuna jamaa mpinga-chadema utazan mpinga-kristo. jamaa huwa namsalimiaga kwa ishara ya habar yako banaa, uku namuoneshea ishara ya V ambayo tunatumiaga cc ma hadi core wa cdm. lakini leo nimsalimia ivo akaj4bu 'wameanza kuwaondoa mmoja mmoja, bado mmoja . . .'. nikamuuliza, wamemndoa nani? akajibu 'hujui, we kaa hivyo hvyo'. dah, amenipamkisha sana. sjui kama ntaenda khanga pati len.
hongera kwa kuingiza cku!
 
Kweli hili jamaa ni gamba koko
Lotuondokee hapa linachafua hali ya hewa
 
Hili litakuwa gamba la kobe maana yy ni khanga tu, si unajua wamozoea kuhongwa khanga, tisheti na kofia?
 
Hili huni la magamba tu. Linajifanya cdm, hiki si chama cha wahuni huni. Toka zako utuondolee upupu humu.

Nasubiri chadema mkiwa na serekali mtakavyobaguana,ooh huyu ana midomo kama ya gamba,huyu mpemba cdm hatuna wanachama huko
 
kuna jamaa mpinga-chadema utazan mpinga-kristo. jamaa huwa namsalimiaga kwa ishara ya habar yako banaa, uku namuoneshea ishara ya V ambayo tunatumiaga cc ma hadi core wa cdm. lakini leo nimsalimia ivo akaj4bu 'wameanza kuwaondoa mmoja mmoja, bado mmoja . . .'. nikamuuliza, wamemndoa nani? akajibu 'hujui, we kaa hivyo hvyo'. dah, amenipamkisha sana. sjui kama ntaenda khanga pati len.
Wewe ni Jinsia gani?Jibu nikupe ushauri.
 
Back
Top Bottom