Eti wake zetu ma secretary wanaliwaga na maboss wao??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Yawezekana we ni mmoja wa wanaojiuliza maswali haya kutokana na mwamko mpya waliouanzisha wanakaya ama maboss wetu hasa wanapotoa ajira..jamaa yangu ameoa mke secretary wa kampuni moja maaruf sasa yule dada ameanza kurudi usiku kazi zimemelemea jaana nikiwa rose garden jamaa anasema mi wacha nilewe tu hivi hawa wake zetu masecretary wanaliwaga sana na maboss..nkamwambia sio wote wanaangalia kama amezeeka awamgusi kama kijana endelea kufanya maombi...nikaona anaenda ****** gafla akatuma msg jamani nilikuwepo..nikasema hivi jamani kwani mkiwa mnawaoa amjui ni masecretary na kama ni kazi zao kwa nini msiwaamini....???anyway mwenye mke secretary anawezatupa uzoefu kidogo nijue kijana ntamsaidiaje leo jion kumpa mawazo
 
We ulitegemea zile safari pamoja na boss wake mara South, Mara Dubai mara China ni nini? unafikiri ni kwa sababu ya "ufanisi" wake kikazi.........tafakari chukua hatua!
 
we ulitegemea zile safari pamoja na boss wake mara south, mara dubai mara china ni nini? Unafikiri ni kwa sababu ya "ufanisi" wake kikazi.........tafakari chukua hatua!

kwi kwi kwi kwimalariiiiiiiiiiiii aikubalikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikazi kwenu mabwana secretary unajua eeeehhh hata mie nimetoka shirika moja yaani wameanzisha chama cha masecretary sasa kila baada ya miezi mitatu wanaenda wote ushawahi ona dep ya comm,finan,engineering, wakirudi wantuma email kuwashukuru masbosi wao kwa roho nzuri ya upendo na uwezi amini kila baada ya muda wanaongezewa mshahra utashangaa ati secreta analipwa milion 1.2 wakati wanahuzu ahata lakisita shida loh..mnawapaga nini hawa msiwape na mabwana zenu jamani
 
Inategemea
  • Jinsia ya boss
  • Umri wamkeo na wa huyo boss
  • Maadili yao wote waili
  • Ana maboss wanagapi...maofisi mengi siku hizi secretary mmoja tu anatosha
 
Inategemea

  • Jinsia ya boss
  • Umri wamkeo na wa huyo boss
  • Maadili yao wote waili
  • Ana maboss wanagapi...maofisi mengi siku hizi secretary mmoja tu anatosha

:nono::nono::nono:

Hapo kwenye bold kuna kitu kinaitwa Immediate boss; ukikielewa hicho basi ujue hali si hali hata kwako maji yatafika tu!
 
haki ndoaaaaaaaaa

lakini najiuliza swali moja tunalalama weeeeeeeeeeeee lakini wakati akileta per diem za safari doller kadha unampa wewe kwanza ofa ya rosegarden hapo ujachench doller...sasa mbona amuwaambii wazirudishe hizo usd..kumradh iwa tshs
 
  • boss yupi anawazidi wenzake ujanja
  • utashi wa kisiasa wa secretary mwenyewe

mkuu mi nimeona idadi aisaidiikuna mzigo mmoja unaliwa na mang direct/comm dir/finance direct/maarketing dir/ walipojishtukia wote wanaingizwa chamboni sehemu na wakatti tofauti mwanamke akatishia kumwaga radhi mpaka kesho kaamua kkubaki na manag/tooooooopna ameolewa ana mume na watoto 2 bahati mbaya kati ya hao dirct mmoja tumemlaza pale kinondoni majuzi wiki iliopita kumradhi wahusika..ila ni sehemu ya kufundishana..dada zetutumiac&******m kwa hisani ya watu wa jfnahisi utaelewa amelala na ugonjwa gani
 
Kwa technologia ya sasa kusafiri na secretary wa nini lakini?...ila kuna watu wanafurahia wake zao kusafirisafiri...zaidi ya per idems wanapata kauhuru na wao kujirusha bila bughudha
 
Whaaaaaaaaat Come again...............yaani tuko kwenye reality bin live?:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:

Hebu ongea kwa uzuri Sam!
 
Kwa technologia ya sasa kusafiri na secretary wa nini lakini?...ila kuna watu wanafurahia wake zao kusafirisafiri...zaidi ya per idems wanapata kauhuru na wao kujirusha bila bughudha

weeeeeeeeeeeeeeeeeee weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee watake radhi mabosi wetu wakisikia hio watatpika kama wana mimba ya miesi sita......................muulize mhe Mguu akupe siri ya kusafir nao
 
Secretary kuliwa na boss ni sehemu ya kaz. Kama hutaki kuliwa acha kaz...
 
Whaaaaaaaaat Come again...............yaani tuko kwenye reality bin live?:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:

Hebu ongea kwa uzuri Sam!

samahani jkama ntawagusa kuna dada mmoja alikuwa anamegwa na manag dir,comm dir/ anywy nisimalize in short management nzima kwa muda wa miaka miwili akuna aliejua wako kwenye gari moja paka mkenya mmoja alipokuwa akiagwa nae alikuwakwenye udire akasema katk watu ambao atowasahau ni ....baada tya muda akaaondoka muuhhndi nae alikuwacomm dir nae akawa anamsifia anachizika sana kitandan wacha bana ..hapo fina/man dir /enginee wameka kimya huku dada na vithuku vyake iguu yote miwili ana afyaaaaaaaaa usipime...majuzi mmoja wa dir ametutoka gafla tumemzika kinondoni...kumradhi kama utakuwa mmoja wa wafanyakazi waliompitia yule dada ..mh ameondoka na kagonjwa chetu cha HOTEL-INDIA-VICTOR sasa nikiangalia watu wa chini wangapi mwili unabaki kunisisimka maana idadi ya ikarusi kama inajaa Mungu atupe rehema zake
 
kwa raha zake na ndio maana tuna mabodigadi wanawake kwenye nyumba zetu(HOUSE GIRL) UNAJICHAGULIA TUHiii ni kwa hisani ya watu watandale
 
Ni kama kahawa kwa boss, kama boss hataki coffee, inabidi waende lunch New Africa na maeneo mengineyo.
 
Hata waume zenu ma-secretary mbona wanawalaga maboss wa kike vile vile!

Ngoma inogile!:nono:
 
Back
Top Bottom