Eti wadau kati ya pesa na shida kipi kinammaliza mwenzake hapa duniani?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
471
Karibuni............
kuna mdau mmoja aliniambia akipata pesa atatatua shida zake zote
sasa turejee swali....
ukijibu useme kwa nini kimmalize mwenzake?
 
Shida. Maana unaweza kuwa na pesa, lakini kuna mambo kama;
~kutokuwa na amani na usalama wako
~pia ukiendekeza anasa unaweza potea kwa maradhi.
Ni hayo tu kwa sasa, nikikumbuka mengine nitarudi.
 
Pesa unaweza ukaishiwa lakini shida haziishi,kutokuwa na chakula ni shida,kutokuwa na mavazi ni shida,kutokuwa na amani ni shida,kutokuwa na uhakika wa usafiri ni shida, magonjwa ni shida,vifo ni shida,mbaya zaidi kutokuwa na pesa ndio shida kubwa zaidi.'Kila siku shida,shida haziishi mpaka siku ya mwisho'-Mbaraka Mwinshehe.Shida ndio humaliza pesa,pesa haziwezi maliza shida.
 
shida
kwa sababu shida haiiishi unaweza kumiliki pesa nyingi sana mabilioni yakutosha lakini zikaisha ukabakia mtupu kama naniiii?shida ndio zinaimaliza pesa leo utaenda mbeya kulima,kesho iringa kununua mahindi,keshokutwa mwanza kununua samaki zote hizi ni shida ambazo zinamaliza pesa
 
Back
Top Bottom