Eti wadada zetu wanatumia masikio sana kuliko macho

Kokwa kavu

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
220
41
Unaweza kukuta mdada anakwambia bwana yangu anamiliki vx v8 wakat gar yenyewe ina no za stk kisa jamaa kamwambia ni gar lake na anamfataga nalo jion kitaa au ni uvivu wakusoma namba
 
Labda huyo demu awe below form 4.
 
Alye lala usimwamshe. Ukimwamsha utalala wewe.

Mwache ajidai. Her days are numbered though she does not read the plates.
 
Hata likiwa na no. za JWTZ wao hawaangalii,watakufagilia tu kwamba una gari.
 
Unaweza kukuta mdada anakwambia bwana yangu anamiliki vx v8 wakat gar yenyewe ina no za stk kisa jamaa kamwambia ni gar lake na anamfataga nalo jion kitaa au ni uvivu wakusoma namba

Sema dada yangu anatumia masikio. Usitujumilishe wote kwa mfano wa mtu mmoja.

Yani mtu ushindwe tofautisha STK, STJ, DFP, CD plate numbers kuwa si ya mtu binafsi..tena kuna namba za kawaida ni usalama na hawaweki stickers za insurance kwa vioo nk. Mwingine anaweza kuazima gari yard/kwa marafiki kuringishia.
 
heri usafiri bwana.mwanaume usafiri bwana hata kama ambulace sisi tunafagilia mshika usukani
 
Mh...... hiyo kali. Kumbe mtu anaweza kwenda na roli la mchanga na bado dada zet wakashoboka...........
Tamaa zitaua wengi kwa mfumo huu
 
Sema dada yangu anatumia masikio. Usitujumilishe wote kwa mfano wa mtu mmoja.

Yani mtu ushindwe tofautisha STK, STJ, DFP, CD plate numbers kuwa si ya mtu binafsi..tena kuna namba za kawaida ni usalama na hawaweki stickers za insurance kwa vioo nk. Mwingine anaweza kuazima gari yard/kwa marafiki kuringishia.

Kwan mnajal hlo cmrad uwe sit ya mbele umefunga mkanda unapulizwa na ac za mdokezo ya mafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom