Eti vyuo vya kata

jaluz

Member
Oct 18, 2012
47
7
Ndugu wana jf nashindwa kuelewa,kwanini baadhi ya vyuo wanasema ni vya kata ilihali elimu yetu bado ni kucopy tu?
 
si vizuri kuviita vuo vya kata maana vimesajiliwa kwa sheria ya nchi baada ya kukidhi vigezo vilivyowekwa. labda vingekuwa katika kila kata
 
sio sahii kusema /kuviita vyuo vya kata kikubwa ni tutoe maoni ni kipi kifanyike ili tuboreshe elimu ktk vyuo ivyo mnavyo viita vya kata kama ni kweli.
 
sio sahii kusema /kuviita vyuo vya kata kikubwa ni tutoe maoni ni kipi kifanyike ili tuboreshe elimu ktk vyuo ivyo mnavyo viita vya kata kama ni kweli.
vinaitwa vya kata sababu wanafunzi wanakaa chini. vilevile wanafukuzana kuwahi kuingia lecture rooms kama abiria wanavyogombea kupanda daladala. Wengine wanasikiliza lecture huku wamesimama. sasa pana elimu hapo kama sio kuzalisha vilaza
 
Vitendea na vitenda kazi bado ni tatizo kwenye vyuo vingi nchini, cha kushangaza idadi inazidi kuwa kubwa!!

lazima tutapata poor product!!
 
vinaitwa vya kata sababu wanafunzi wanakaa chini. vilevile wanafukuzana kuwahi kuingia lecture rooms kama abiria wanavyogombea kupanda daladala. Wengine wanasikiliza lecture huku wamesimama. sasa pana elimu hapo kama sio kuzalisha vilaza

Temea mate chini, nenda pale UDSM wanafunzi wanajazana mpaka wengine wanamsikiliza lecturer kupitia dirishani
 
Mtoa mada nasoma udsm,kucopy maana yake tangu uhuru tunasoma elimu inayotufanya kusivumbue chochote ila kukariri tu
 
Back
Top Bottom