Eti Umaarufu wa JK utaongezeka 2012..

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Leo asubuhi katika kipindi cha mahojiano cha Channel 10, amesikika mtoto wa marehe Sheikh Yahya Hussein akiongelea utabiri wake wa mwaka 2012. Moja ya kitu alichokiongea ni kuongezeka kwa umaarufu wa JK. Kwa hiyo wa JF tutegemee huu muujiza wa karne.
 
Kwani hukumbuki baba yake alisema atakayempinga Jk kwenye uchaguzi wa 2010 atakufa? Shibuda anadunda.
unakumbuka baba yake alipozidiwa alipelekwa India na nani?
Then, what do you expect him to say?
 
Ndio hajakosea maana umaarufu wake utaongezeka kutokana na uongozi wake mbovu, kila sehemu atasemwa kutokana na nchi kuyumba. Kwa hiyo atamaarufuka kwa ukilaza katika uongozi.
 
Leo asubuhi katika kipindi cha mahojiano cha Channel 10, amesikika mtoto wa marehe Sheikh Yahya Hussein akiongelea utabiri wake wa mwaka 2012. Moja ya kitu alichokiongea ni kuongezeka kwa umaarufu wa JK. Kwa hiyo wa JF tutegemee huu muujiza wa karne.

ni kweli utaongezeka tena sana nakumbuka umaarufu ya OSAMA ULIONGEZEKA SANA baada ya kukuuwawa kuliko alipokuwa mzima!
 
Mwaka 2012 atabembea sana na kucheza kiduku kwa wingi. Umaarufu wake utapaaa
 
Inflation rate itakapokaribia ya Zimbabwe, lazma umaarufu wake uongezeke. Tutatia akili, japo akili zenyewe tia maji tia maji,tutanyooka wenyewe!
 
Utaongezeka pale atakapoendekeza kuomba uingereza afu aruhusu ushoga ili aendelee kupata msaada
 
Back
Top Bottom