Eti uchumi wa T anzania wapanda nafasi saba!

kaleju

Member
Jan 27, 2011
48
2
Mmmm! Nikweli report ya UNDP inasema ukwel? Make naona thamani ya sh ya Tanzania inaporomoka afu eti uchumi unapanda. Je nikwel?
 
waongo.tanzania imekua kutoka na fasi ya 153 hadi nafasi ya 152 katika nchi 184.congo ndo nchi ya mwisho.mia
 
Back
Top Bottom