Eti Tanzania kuizidi Ujerumani, Urusi na Brazil

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
8,319
17,474
Nimeangalia haya makadirio ya ongezelo la idadi ya watu (2100) za umoja wa mataifa kwakweli sielewi haya makadirio wameyatoa wapi yaani Tanzania kuzidi watu milioni 300 hii haingii akilini kabisa.

WanaJF mnaonaje kuhusu hili...

20110514_WOC680_0.gif



1 India 1,557,468
2 China 944,380
3 Nigeria 756,007
4 United States 478,047
5 Tanzania 314,197
6 Pakistan 262,149
7 Indonesia 254,590
8 Congo, Dem. Rep. 212,000
9 Philippines 178,256
10 Brazil 178,134
11 Uganda 172,648
12 Kenya 158,886
13 Bangladesh 157,410
14 Ethiopia 149,043
15 Iraq 144,742

Source: Population Reference Bureau
 
Hao wachina karibu 400,000,000 ina maana watakuwa wamekufa by 2100?
 
ukiona hivo ujue tafiti zinaonyesha wa tz wanapenda sana kuchavushana kuliko kufanya kazi.hahaaaaaa

nani kapika hizi taarifa jamani,mbona inatisha sana yaani ndani ya muda mfupi tufikie idadi hiyo.naomba ufafanuzi kwa aliyeanzisha thread hii ni nani kafanya utafiti huo?
 
Hiyo imetulia kabisa! unless ni propaganda za kututisha tuache kuchavushana! The high the population density the more the challenges to survive! kwa hiyo misheni town zitaisha, tutaanza kuhama Tz kwenda kwenye nchi zenye less population na kubaka mali zao kama tunavyobakwa sisi!
 
siamini na miukimwi hii inavyotumaliza tutaendelea kuongezeka kweli tena kwa kasi hiyo? au wanajua babu atakuwa katurudishia nguvu na kuumaliza ukimwi?
 
takwimu tunayoambiwa tumbo milion 30 hadi 40 zinatoka wapi, kwa hapa inaonyesha milion 50!
 
Follow the simple culculation and assumption made

kuna vizazi viwili ndani ya miaka 100 for developing economies
Reasons: Umri wa kuoa mdogo

Wastani wa watoto katika kila ndoa ni 3

katika miaka 100/50 ni vipindi 2 vya vizazi


Population ya sasa 50 million

Estimated population watoto 3kila ndoa x vizazi 2x50million population = 300millioni
 
Follow the simple culculation and assumption made

kuna vizazi viwili ndani ya miaka 100 for developing economies
Reasons: Umri wa kuoa mdogo

Wastani wa watoto katika kila ndoa ni 3

katika miaka 100/50 ni vipindi 2 vya vizazi


Population ya sasa 50 million

Estimated population watoto 3kila ndoa x vizazi 2x50million population = 300millioni

Mkuu if this assumption is right bado najiuliza, Hao wachina karibu 400,000,000 ina maana watakuwa wamekufa by 2100? Au watakuwa wameenda wapi? Maana wao wanaonekana kupungua!!!!
 
Back
Top Bottom