Eti soko la """kitimoto ""kuanza kupungua kuanzia kesho""

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,721
21,778
Ndugu zetu mnaoanza sikuku mungu awape nguvu ya kumaliza vyema mfungo wetu
najua hapa ndipo kwnye shuguli lakini napenda niwasifu maana hata wale ndugu zetu wachezesha rungu wakifika huu mwezi wanakuwa kama wamemwagiwa tindikali mpaka uishe na balaa la lake ni ile siku yammwisho jinsi zinavyo jaa zile naniino

pamoja na hilo naamini tutafankiwa kupitam na kumaliza salama nawatakia sikukuu njema ama mfungo mwema ,,,ndugu zetu wa nyama za ng'roooooo nawapa pole sana muwe na uvumilivu hawa ni ndugu zetu tutakuwa nanyi tena baada ya mwezi ndio maana muhubiri kwenye baibo anasema kuna wakati wa kucheka na wakati wa kulia amuna budi kulia kwa mwezzi huu mmoja tukisubiri kujumuika na wenzetu

tunawatakien mfungo mwema

mungu awabariki
 
Hhahahahahahaaa umenifurahisha mkurugenzi, jambo hilo lina ukweli bana, Malaria Sugu upooooooooo.....! maana mara kabao nakuonaga pale B-Bar Sinza kwa Remmy kwenye mdudu. Mfungo mwema wajameni.
 
Hhahahahahahaaa umenifurahisha mkurugenzi, jambo hilo lina ukweli bana, Malaria Sugu upooooooooo.....! maana mara kabao nakuonaga pale B-Bar Sinza kwa Remmy kwenye mdudu. Mfungo mwema wajameni.

na wewe mbona unawatonesha bana utawatoa udhu wacha wamalizie kwanza ila wajameni kumbeni tuko wengi wale jama wa B-BAR jana walikuwa wanalalaaama kwelii inabidi waanze kuleta yenye mafuta maana jamaa huwa anataka ya minofu wasiisikie ile kale kaharufu...kila la kheri wapwa tunawasubiri kwa hamu hasa NAMNANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom