Elections 2010 Eti Sitta ataka uspika, asema anafaa, Kweli ataliweza hilli Bungo La 10

  • Mgaya na wanachama wote wa TUCTA

  • Vyama mbadala vyote vya kisisiasa

  • Makonda ,Wapiga debe ,madereva
  • Na hata wale madada wauza "utamu"
  • NGO
  • I mean wananchi wote

Chenge akiwa Spika tunaomba wenye uwezo waorganise migomo na maandamano. Tunapoeleka People's power inahitajika. Wabunge wa upinzani sauti yao bado ni ndogo.

Chenge hajashiinda uspika lakini kitendo cha yeye kugombea ubunge na sasa kuchukua fomu ya spika ni tusi kwa watanganyika
tena kubwa sana
 
Yani huyu mzee wa vijisent hafai hata kidogo. Inamaana yeye anaenda bungeni kutetea tena ufisadi? Nilifikiri atakuwa amejifunza kumbe hakuna kitu kabisa. Sijui kwa nini wanachi wa barihadi wamemrudisha tena huyu jamaa
Wananchi wa Bariadi hawana makosa usiwalaumu, walaumu NEC waliolazimisha kurudi kwake pamoja na mafisadi wengine.
 
Sasa anagombea U-spika ili kulipiza kisasi?

Inaonekana huyu akiwa spika itakua ngumu sana kwa mijadala bungeni kufanyika. Ukisoma psychology yake inaonekana anasukumwa kugombea uspika kwa lengo la kulipiza kisasi au kuwakomesha baadhi ya watu lakini kibaya zaidi ana lengo la kutokukuza mijadala bungeni kwa kile alichookiita spika aliepita aliruhusu mambo ya ajabu kujadiliwa.

Chenge ni mtu hatari sana huyu. Alidiriki kuandika sheria ya madini binafsi ili kujinufaisha mwenyewe. Huyu jamaa aliiandika sheria ya madini na kukataa kuingiza maoni yaliowasilishwa na wataalam kwenye sheria hiyo na ndio iliotufikisha hapa leo.

Chenge, he is a dangerous man to be bestowed with public office...! Pamoja na kwamba Sitta ana mapungufu yake, lakini Sitta ndie aliekuza demokrasia kwa kuruhusu wabunge kujadili kwa ukamilifu hoja muhimu na chungu kwa viongozi. Kama sio Sitta tungejuaje kwamba yeye Chenge ni Fisadi?
 
Yaani hii nchi ukiwa na fwedha basi wewe una uhakika....Yaani kwa kesi alizonazo Chenge ningekua nazo mie ningekuwa naiwaza KEKO/ Ukonga au SEGEDANSE (SEGEREA). lakini haki ya mungu huyu Chenge Msengenyaji wala hawazi kuwa kuna jela... ndo kwanza anawaza uspika koz ana uhakika wa kushinda kesi zake za mauaji......Anajiamini nini huyu Jamaa??? nani anamlinda mpk anatuona sie mafala kiasi hiki???

Tena anasema "kiongozi aliye tayari kujitafutia na kujitwalia umaarufu au ushujaa wake binafsi kwa njia ya kuwahujumu, kuwaumiza na kuwachafua wengine kwa kutengeneza tuhuma na kashfa za kila aina" Ila cha kushangaza huyu Msengenyaji hakanushi wala kukubali kuwa hizo tuhuma zilizojadiliwa katika Bunge lililopita ni za kweli au au uongo.... Kwa nini hao waandishi walikimbilia kumtafuta 6 na hawakumuuliza hilo swali??? tena 6 aliwatoa sana koz pamoja na kujadiliwa kwa kashfa hizo lakini zilikua zikiisha kibingwa kwa mtindo wa siku zote wa kubebana.....koz kasema hatagombea tena am sure safari hii 6 akiupata uspika atakua anakamua mwanzo mwisho......

CHENGE UNAJISAFISHA KUONEKANA MSAFI ILA UKWELI HATA WEWE UNAUJUA KUWA WEWE SI SWAFI NA SALAMA.........Kawazuge watu wa SAPIWI.....sio watazania wote....
 
Tanzania hatuna waandishi wa habari! kuna waganga njaa tu, waandishi wa habari bora wanabaki maofisini kusubiri hizo habari ambazo nazo siyo kamilifu.

Chenge akipata uspika nitashangaa, ila najua CCM - Mafisadi Camp ndo mikakati yao hiyo kujisafisha. Lakini navyojua mimi, mzee 6 anakubalika hata upinzani wanamkubali ingawa naye ni Fisadi.

I hope atashinda tena mzee six ili awanyoe zaidi katika kipindi hiki cha miaka 5 ya mwisho wake kwenye siasa.
Mtu makini kuwa spika kwa sasa ni mzee 6, labda na Hamad Rashid MP( CUF) lakini kwa uchache wa wapinzani itakuwa ngumu kushinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom