Eti Pinda anamiliki hisa nyingi tu kampuni ya mabasi ya SUMRY?

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,772
4,641
habari wana JF kuna tetesi kwamba huyu anaejiita mtoto wa kulima anamiliki hisa za kutosha tu katika kampuni ya mabasi ya SUMRY yanayofanya safari zao karibu mikoa yote ya Tanzania kupitia kampuni iitwayo one move.

jamani wana JF hivi mtu huyu akaunti yake inaweza kuwa na vimilioni hivo vichache ambavyo alivitaja?
aaaaaaaaaaaahhhhgh nae ni fisadi tu.
nakabidhi.
 
uyu mtoto wa mkulima mbona anatumiwa kwa mambo mengi tu kwa ajili ya kuisafisha serikalia yake maana utasikia analia mbungeni kwa kuongea vibaya sasa hivi anjiandaa kwa ajili ya kwenda kulia mbungeni kwa kitetea serikali kwa mauaji yaliyotokea arusha, ni kweli anaweza akawa nazo maan mimi huwa simkubali hata kidogo kwasababu ya unafiki wake.
 
Kuna kipindi sumry walitoa bus mpya from kenya ila wakafanya magumashi ya mapato, wakaweka plate number za pikipiki, tra wakashtukia mchezo wakazikamata kwa mda mrefu ndipo mtoto wa mkulima akaingiza mkono wake ma bus yakaachiwa, na kusambaa kwa kasi hizo bus tz nzima ni kipindi hiki mtoto wa mkulima anavyokula shavu, ni kama scandanavia na utawala wa kina mkapa kuna watu waliwekeza walipotoka madarakani wakajitoa,
 
Hacha Habariza chuki na unafiki huyu W/Mkuu hakuzaliwa kuwa mkuu na kuwa mtototo wa mkulima sio kuwa atakufa mtoto wa mkulima. Obama the hero alikuwa hi kuliko pinda pinda. Mie ninamiliki hisa SUMRY pia na naona sio tatizo. Kwanini umeleta hoja hii. Je, wewe unakula kwa jirani? kuishi kwako kunategemea mkeo kuchachakuliwa kwa jirani? koma mnafiki wewe. Bwana wako asifiwe!!!
 
Kumiliki hisa kihalali kwenye kampuni Siyo tatizo . . Hata kama angekuwa anamiliki hiyo kampuni pasipo na wadanganyika wengine Kuwa na hisa nalo si tatizo kama mali yake amepata kihalali.
 
Hacha Habariza chuki na unafiki huyu W/Mkuu hakuzaliwa kuwa mkuu na kuwa mtototo wa mkulima sio kuwa atakufa mtoto wa mkulima. Obama the hero alikuwa hi kuliko pinda pinda. Mie ninamiliki hisa SUMRY pia na naona sio tatizo. Kwanini umeleta hoja hii. Je, wewe unakula kwa jirani? kuishi kwako kunategemea mkeo kuchachakuliwa kwa jirani? koma mnafiki wewe. Bwana wako asifiwe!!!

Punguza jazba mkuu,

Kama ni kweli basi tunataka aziweke mali zake wazi na wala hakuna atakeyekuwa na tatizo naye. Huwezi mlinganisha na Obamas wale mali zao zote wameziweka wazi hadi senti ya mwisho...
 
Hacha Habariza chuki na unafiki huyu W/Mkuu hakuzaliwa kuwa mkuu na kuwa mtototo wa mkulima sio kuwa atakufa mtoto wa mkulima. Obama the hero alikuwa hi kuliko pinda pinda. Mie ninamiliki hisa SUMRY pia na naona sio tatizo. Kwanini umeleta hoja hii. Je, wewe unakula kwa jirani? kuishi kwako kunategemea mkeo kuchachakuliwa kwa jirani? koma mnafiki wewe. Bwana wako asifiwe!!!

pole pole muheshimiwa.
 
Jaa! Kweli Kenge noma
 
habari wana JF kuna tetesi kwamba huyu anaejiita mtoto wa kulima anamiliki hisa za kutosha tu katika kampuni ya mabasi ya SUMRY yanayofanya safari zao karibu mikoa yote ya Tanzania kupitia kampuni iitwayo one move.

jamani wana JF hivi mtu huyu akaunti yake inaweza kuwa na vimilioni hivo vichache ambavyo alivitaja?
aaaaaaaaaaaahhhhgh nae ni fisadi tu.
nakabidhi.

Sio msafi hata chembe...hilo linawezekana kabisa! ukweli utadhihirika punde.

Ndio yeye alisema pia kuwa hatuna jinsi ya kuacha kuilipa Dowans, wakati anajua kabisa kuwa huo ni mkumbo na mkondo wa mafisadi wanaoenda kupokea hilo jasho la umma?
Ana usafi gani? Heri hata Sitta!
 
Hacha Habariza chuki na unafiki huyu W/Mkuu hakuzaliwa kuwa mkuu na kuwa mtototo wa mkulima sio kuwa atakufa mtoto wa mkulima. Obama the hero alikuwa hi kuliko pinda pinda. Mie ninamiliki hisa SUMRY pia na naona sio tatizo. Kwanini umeleta hoja hii. Je, wewe unakula kwa jirani? kuishi kwako kunategemea mkeo kuchachakuliwa kwa jirani? koma mnafiki wewe. Bwana wako asifiwe!!!
vibaraka wanaolipwa na viongozi kwa ajili ya kujibu shutuma zao kwenye mitandao utawajua tu......kalaghabaho
 
jamani Pinda si alishasema ana m 25 tu ! ila sasa jamaa mshaara wake tangu au kibosile na mazagazaga ya safari na ofsini ana pelekaga waaapi huyu jamaa.!
 
Back
Top Bottom