Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,806
Nilikuwa natokea Mwenge kuelekea Posta kwa daladala.
Garini nilikaa na bonge la sista duu lenye mapozi ya kumwaga, nilipo msalimia anabetua midomo kwa dharau na hakujibu salamu yengu.
Njia nzima tukaenda kibubu bubu. Tulipofika Posta mpya kukawa na kijifoleni fulani cha mabasi.
Nje ya gari alikuwa anapita demu mzuri na amependeza mpaka kupitiliza, yule binti nliyekuwa nimekaa naye kwenye daladala akaniongelesha , mwuone huyo dada anajishebedua tu, wala hajapendeza.
Nikamuuliza unamfahamu/ akajibu hamfahamu.
Nikashangaa sana.