Eti Ni kweli Okwi anadai Mi. 7 kwa mwezi!!!?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
Jamani huku tunakoelea sasa kisoka siko, mchezaji anadai milioni 7 kwa mwezi, kocha anadai dola elfu 10, hivi mpira wa Tz unaelekea wapi? na hawa wazalendo watabaki kulipwa laki 8? huu urari wa malipo ni haki na sawa? Mf Kiemba ana goli 4 analipwa laki 8, Sunzu ana goli 3 analipwa milioni 5 unusu duh!! wacheni Boban acheze mchanganiii.....wacheni Nyoso atoe maboko, wacheni Ngasa anyimwe pasi.............wacheni Kaseja aruke hovyoooo........
 
Ngoja rage aje na sound zake make hadi saiz kashindwa kumlipa marehem rambirambi yake
 
Milioni 7 ni kama dola 4500 tu, muacheni adai kwa kuwa ni mwelevu na anajua haki yake ya kupata zaidi tofauti na hao wachezaji wa kibongo wanaofikiria kupata sifa na kununuliwa bia na sio kupata hela
 
Msomali rage! kwanza zile pesa zetu za mbuyu twite amerudisha?? wana msimbazi tuwe makini na huyu msomali wetu! kwanza alifungwa jela kwa ufisadi pale FAT kabla ya kuja kusafishwa na Mahakama kwa msaada wa dhaifu.
 
Jamani huku tunakoelea sasa kisoka siko, mchezaji anadai milioni 7 kwa mwezi, kocha anadai dola elfu 10, hivi mpira wa Tz unaelekea wapi? na hawa wazalendo watabaki kulipwa laki 8? huu urari wa malipo ni haki na sawa? Mf Kiemba ana goli 4 analipwa laki 8, Sunzu ana goli 3 analipwa milioni 5 unusu duh!! wacheni Boban acheze mchanganiii.....wacheni Nyoso atoe maboko, wacheni Ngasa anyimwe pasi.............wacheni Kaseja aruke hovyoooo........

Sunzu garasa, lakini Superstrika ana haki ya kulipwa kuliko mchezaji yoyote hapa nchini.
Mpira wetu unawezekana bila magarasa ya nje ya nchi, Mafunzo walicheza soka safi sana kwenye Kagame wakiwa 100% pure Zanzibaris, mpaka kocha.
 
Kumbuka kati ya hizo 7, Sinta anachukua 2 kila mwezi. Makubaliano yoyote kuna kiasi cha Sinta ndani yake. Wasio mjua Sinta ni msanii wa Bongio Movies, shemeji yetu Okwi ndio kesha fika. Poa tu maana uchumi unabaki nyumbani lakini anayumbisha timu yetu huyu dada yetu Sinta kwa remote.
 
Aah wapi washamwagana kitambo mpk wakafikia kiasi cha kudhalilishana hadharani
 
Sunzu garasa, lakini Superstrika ana haki ya kulipwa kuliko mchezaji yoyote hapa nchini.
Mpira wetu unawezekana bila magarasa ya nje ya nchi, Mafunzo walicheza soka safi sana kwenye Kagame wakiwa 100% pure Zanzibaris, mpaka kocha.
Nakubaliana na wewe kuwa Sunzu ni garasa na hastahili kulipwa zaidi ya wachezaji wote pale Msimbazi,Okwi angepaswa kuwa the highest paid lkn alipwe 7M? sina uhakika!
 
Endeleeni tu wadau, muda huu Kurwa. Mzunguko wa pili ukifika Doto nae ataanza kuvurunda katika mechi. Tutaanza kujua mengine tena. Oooh TWITE hajapewa mshahara miezi mitatu, mara Niyonzima ajapewa posho.Yetu macho tu na masikio. Forza Azam.
 
Ukiendelea kuwaombea njaa Kurwa na Doto ni sawa na kuendelea kutengeneza mianya ya mizengwe.
Utashangaa vikosi vibovu, migogoro kila uchao na bado watu wanabeba ndoo.
Ni bora wakajirekebisha ili kuwe na fair ground za mpira...
 
Nakubaliana na wewe kuwa Sunzu ni garasa na hastahili kulipwa zaidi ya wachezaji wote pale Msimbazi,Okwi angepaswa kuwa the highest paid lkn alipwe 7M? sina uhakika!

Kama tukiiga lifestyle ya ulaya, mpira unatakiwa uwe biashara inayolipa zaidi kuliko chochote kwa wachezaji.
Ikiwa Charles Kimey wa CRDB anapokea around 25m Tsh. basi Okwi, ambaye ndo mchezaji bora kwa sasa hapa Bongo anatakiwa apokee double or triple the amount.
Tunayo nafasi ya kufanya hivyo, kama tuta-comercialize soka kabisa.
 
waache hivo hivo kesho tukiwapiga utasikia hawana mshahara..

mkuu Amavubi umeitolea bin zubeiry nini maana ndio zake huyoo...
 
Last edited by a moderator:
Habari ya jiji: Okwi ashaahidiwa milioni tisa na wanalambalamba. Hata hamis kiiza yuko njia moja kielekea huko. Habari ndo hiyo!
 
natafakari sana wale Simba B, wana uwezo wa hali ya juu sana, yule Mesi wao hajatupiwa namba kabisa lakini ana kasi ya ajabu hana nguvu tu
Sunzu garasa, lakini Superstrika ana haki ya kulipwa kuliko mchezaji yoyote hapa nchini.
Mpira wetu unawezekana bila magarasa ya nje ya nchi, Mafunzo walicheza soka safi sana kwenye Kagame wakiwa 100% pure Zanzibaris, mpaka kocha.
 
Hamis Kiiza na Berko wameshaangulka Azam Tayari, wanasubiri tu Januari waende zao, sitstajabia Okwi naye, lakini heri aende Azam.............

Back
Top Bottom