Eti ni kwanini? Hebu tuambie...

Shishi: Umeamua kufunga ndoa baada ya kupata kitambi? Ulitesti kwanza?

QUOTE]

Jamani shemeji sijui mpenzi...... ( hili halijatatuliwa na tarehe kumi countdown tayari eti))) wacha aibu ndogo ndogo.... mie mtoto mzuri kitambi labda cha sima!!!!!
 
PakaJimmy: Kwanini hupendi kwenda kanisani mpaka Kwaresma ianze ?

Sababu 5 kwanini siwezi kosa kanisani juma2!
1. Ni Makamu M/kiti wa Jumuia ya Mt. Marko.
2.Kwa cheo hicho hapo juu, naingia kwenye Kamati-Tendaji ya Kigango moja kwa moja!
3.Ni msomaji masomo ya kila juma2 Kigangoni.
4.Ni Mratibu wa Idara ya Miito Parokiani
5.Ni baba mzuri nnayependa future njema ya kiimani ya wanangu.
 
Mh. Chrispin Swali la Nyongeza?
 
Mh. Chrispin Swali la Nyongeza?

kwa niaba ya Xpin naomba nimshukuru biggy kwa majibu mazuri ambayo yapo kinyume kabisa na swali la msingi na yenye ukweli mtupu ndani yake
 
Noname: Hivi ukitumia kiswahili unahisi ujumbe wako hautafika unavyotaka?

Akili Kichwani: Pearl mambo tayari au unaogopa wapwa wasikupoke? Mbona jii?

Pearl: Hivi ni lazima uende kazini ndio uwe online JF?

duh mkuu, naona umepiga hasa.......... mambo karibia yanahitimishwa........ walau kwa sasa sina hofu ya kupokwa na wapwaaz, huko nyuma kidogo kweli nilikuwa na kahofu kidokgo, ila sasa yuko mikononi mwangu 100%.............. teh tih.............

kuhusu lulu wangu kulazimika kuwa ofcn ili a-access JF, nimekwishamfikishia hilo swali, na bado tunajadili, hope tutakuja na jibu soon............

lakini hata mimi huwa najiuliza kuhusu ulilouliza kumhusu noname........ kuna wakati huwa najaribu kumjibu kwa kidhungu nikihisi labda atanielewa vizuri............ kuna haja ya kumfanya utafiti wa kina kujua kulikoni kidhungu kikamkaa moyoni kiasi iki?............ hahaaa, ni mtazamo tu................
 
kwa niaba ya Xpin naomba nimshukuru biggy kwa majibu mazuri ambayo yapo kinyume kabisa na swali la msingi na yenye ukweli mtupu ndani yake

afu B nimekutafuta sijakupata ....nitajaribu baadaye kidogo...mic u
 
mi najiuliza hivi kwa nini Binamu yangu wa damu anisuse kiasi hiki tena ghafla??
jitihada zangu zimegonga mwamba..........
 
Chrispin its easy for me to express myself kiblurey than kiswahili blame mwalimu wangu wakiswahili... halafu Masaki na bht hawataki kunisaidia ku improve kiswahili... labda wewe unisaidie kuwa convince...

Mi nataka unifundishe twisheni ya Kiblurey

tatizo tutagongana sana kwenye lugha maana mie kibluray not richabo hapa
labda Masaki awe kiunganishi kwa hapo tu ntakuwa wa msaada kwako shostito....

Mimi naona KISWAHILI uko DEEP zaidi ya Kiingereza.

Hahaha! Kiongozi hebu do the needful hapo. Inaelekea TUKI is not richabo....mimi naona noname uwe mwalimu wa KISWAHILI wa JF
icon10.gif
icon10.gif

bht ndiye mwalimu wako rasmi, mimi ni msaidizi wake! Hata hivyo ujumbe wako huwa unafika vizuri tu kwa walengwa hata kwa lugha hiyo ya malkia.

Najaribu kusoma katikati ya hizi posts.

Hangover ikiisha nta do the needful. Saizi niko busy kuwagongeeni SENKSI fo ziz yuzifuli postiz.
 
Jamani shemeji sijui mpenzi...... ( hili halijatatuliwa na tarehe kumi countdown tayari eti))) wacha aibu ndogo ndogo.... mie mtoto mzuri kitambi labda cha sima!!!!!
Tarehe kumi si mbali. Ngoja nianze kuhesabu. Sijapata kadi mpaka sasa ujue.........

hongera Chrispin, inaelekea unawajua kweli binamu zako humu JF...ha haaa!
Triplets: Kama ungekuwa nesi/daktari, usingeogopa kuchoma sindano njemba yenye vinyweleo mpaka makalioni?

Sababu 5 kwanini siwezi kosa kanisani juma2!
1. Ni Makamu M/kiti wa Jumuia ya Mt. Marko.
2.Kwa cheo hicho hapo juu, naingia kwenye Kamati-Tendaji ya Kigango moja kwa moja!
3.Ni msomaji masomo ya kila juma2 Kigangoni.
4.Ni Mratibu wa Idara ya Miito Parokiani
5.Ni baba mzuri nnayependa future njema ya kiimani ya wanangu.
Hakuna swali la nyongeza.

Mh. Chrispin Swali la Nyongeza?
Matunda ya safari za Arusha yanaanza kuonekana hommie. Tutakutana kwa ankal kujadili hili!

kwa niaba ya Xpin naomba nimshukuru biggy kwa majibu mazuri ambayo yapo kinyume kabisa na swali la msingi na yenye ukweli mtupu ndani yake
Thats Mamushka. Ntahakikisha hupati safari za Arusha.

duh mkuu, naona umepiga hasa.......... mambo karibia yanahitimishwa........ walau kwa sasa sina hofu ya kupokwa na wapwaaz, huko nyuma kidogo kweli nilikuwa na kahofu kidokgo, ila sasa yuko mikononi mwangu 100%.............. teh tih.............

kuhusu lulu wangu kulazimika kuwa ofcn ili a-access JF, nimekwishamfikishia hilo swali, na bado tunajadili, hope tutakuja na jibu soon............

lakini hata mimi huwa najiuliza kuhusu ulilouliza kumhusu noname........ kuna wakati huwa najaribu kumjibu kwa kidhungu nikihisi labda atanielewa vizuri............ kuna haja ya kumfanya utafiti wa kina kujua kulikoni kidhungu kikamkaa moyoni kiasi iki?............ hahaaa, ni mtazamo tu................
Hapa sasa ndipo sina tena swali la nyongeza.
 
Najaribu kusoma katikati ya hizi posts.

Hangover ikiisha nta do the needful. Saizi niko busy kuwagongeeni SENKSI fo ziz yuzifuli postiz.

bana biggy unachelewa kurudi back to normal bana, kwani jana ulikunywa nini??
 
Tarehe kama hizi huwa nafanya miksa ya bia na valeur. Ikifika katikati ya mwezi, bia zinakula ban naendelea na valeur peke yake.

Tatizo linaibuka kama hivi sasa. Unapiga miksa afu unasahau kula!
 
Annina: Unawezaje kumsamehe mtu lakini ukashindwa kusahau? Je damu si nzito kuliko maji?
 
Tarehe kama hizi huwa nafanya miksa ya bia na valeur. Ikifika katikati ya mwezi, bia zinakula ban naendelea na valeur peke yake.

Tatizo linaibuka kama hivi sasa. Unapiga miksa afu unasahau kula![/QUOTE]
Kwanza kakague,

Pili, sio unasahau kula, UNASAHAU KAMA UMEKULA AU HUJALA...........then una-conclude kwamba lazima ulikula, kumbe hukula.
 
Nimeona mkuu!
Hapo kwenye red huna haja ya kukagua. Guaranteed!
Nimecheka mpaka watu wananiona chizi hapa. Hivi unajua jana ilikuwa Jumapili ya Matawi?
 
Mkuu niligundua nikiwa pale kona bar, nimetoka kunyoa nikaona ni-do ze needful pale mapemaaa!! si nakaona watu wanapita na matawi, wametoka church.

DUH!!..tafuta ile kiwani usome hapo juu!!
 
Tarehe kama hizi huwa nafanya miksa ya bia na valeur. Ikifika katikati ya mwezi, bia zinakula ban naendelea na valeur peke yake.

Tatizo linaibuka kama hivi sasa. Unapiga miksa afu unasahau kula!

duh....nimekusoma apo Hommie.....mbege inahusu:D
 
Nimeona mkuu!
Hapo kwenye red huna haja ya kukagua. Guaranteed!
Nimecheka mpaka watu wananiona chizi hapa. Hivi unajua jana ilikuwa Jumapili ya Matawi?

hahahaa unanikumbusha Bigirita ijumaaa moja hivi ya mwezi ulopita alisema ilikuwa ijumaa kuu
nadahni alishasherehele na pasaka tayari....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom