Eti Mzee Makamba na Lowasa ni wavivu wa kufikiri!? - Mukama, Nape

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,796
12,239
Baada ya Mzee Makamba - Katibu Mkuu mstaafu wa CCM kumshambulia Mukama - Katibu Mkuu wa sasa wa CCM kuwa ameshindwa kujenga mshikamano ndani ya CCM na pia Mjumbe wa NEC wa CCM Mhe Lowasa kusema hadharani huko Mto wa Mbu kuwa tatizo la CCM ni uongozi, Nape na Mukama wameibuka na kusema kuwa Makamba na Lowasa ni wavivu kufikiri!

Tafakari!
 
Raha kweli wakubwa wanapotukanana....badala ya kuziba maskio utajukuta unaziba uso
 
yaaani huyu hajui anaongea nini ?yaani lowassa mvivu wa kufikiri??
 
Back
Top Bottom