Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
huu msemo mimi umeniacha hoi bin taaban ..duh! speechless...................
hii labda wadada ndio wanaweza kukupa maana yake aiseekuna msemo nimeusikia juzi..
eti 'kila kubwa ina kubwa yake' lol...
natamani nijue hilo fumbo ni nini??lol
kuna msemo nimeusikia juzi..
eti 'kila kubwa ina kubwa yake' lol...
natamani nijue hilo fumbo ni nini??lol
Yaani hata kama lako unaliona kubwa basi kuna mtu kakuzidiiiiiii! lolz .....(just guessing)
sio ukijifanya BOSS tutaenda kwa BOSS wako????? lol
Utakuwa msukule wewe yaani hauna vyote....lolSasa tusio na vyote inakuwaje?
aminata anavyo vyote ..muombe kimoja ..sema yeye sio mchinaSasa tusio na vyote inakuwaje?
Hazija pita hata wiki mbili huu msemo ulinigharimu sana.
Kibaruani walikuwa wanapiga story wanaongelea makalio, mie nae bila kufikiri nikadakia ' mwanamke sura makalio kwa mchina' sikuwaza zliyekuwa anaongea ana makalio makubwa afu sura ya kufunika na mto kwanza ndo umalize.
Nilikuwa kama nimemkalisha kwenye tuthipick, alilalama yule dada kwa saa nzima. Mie nikakaa kimya kama nimekata kauli, kuanzia siku hiyo siutaki tena huu msemo.