Eti mponda,nkya, nyoni, mutasiwa na ghasia watumwa na pm kuwasikiliza madaktari

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Ujumbe wa hao hatu sasa wako Starlight kuwasikiliza madaktari kero zao!!

****
-Wao si waliombwa wawatatulie hizo kero mwanzoni wakawakwepa?
-Katika maazimio ya Madaktari, mojawapo ni wao waachie ngazi, je wataitatua je hiyo?
 
yaani baada ya watu kufa ndo wanaamka? viongozi wetu mbona waoga hivo, wanashindwa kwenda kuongea na madaktari! hivi tukigoma watumishi wa umma nchi nzima itakuwaje? du!
 
Hapa naona dalili za watu kupopomolewa na viatu.

hatupigi watu mawe au viatu. Wamekataliwa kuongea,ghasia amekosa la kueleza kwa sababu hana majibu. Wameishia kuyaacha yaleyale waliyoongea na vyombo vya habari jana. Wamepewa ujumbe waufikishe kwa waziri mkuu atoe majibu. Vikao vinaendelea na huduma za dharura zitaangaliwa upya. Kumbu suala lilikuwa intern wa muhimbili wakatuambia hata wakigoma wataleta madaktari kutoka egypt na kejeli zingine kwenye vyombo vya habari. Dont play with watu ambao wako qualified na shule zao,wasiohitaji kujipendekeza kwa viongozi.
 
watajuta kutudharau....yaani wangetusikiliza mwanzoooooni tusingefikia uamuzi huu
 
Na ni kwanini pinda asiongee nao anaogopa nini km na yeye si mnafiki?

AAAAA Pinda tena mbona anasifa kuu tatu za mnafki

1.Akiongea anaongea uongo (Alilidanganya Bunge na Wananch kuhusu Mauaji ya Arusha)

2.Akiaminiwa lazima afanye hiyana (Uteuzi wake ulifananishwa na Uteuzi wa Sokoine Akatusaliti kwa kuutetea ufisadi)

3.Akitoa ahadi ni muhali kuitimiza (aliahidi kukutana na madaktari jana hakutimiza akajifungia ofuisini kwake)

Si mtoto wa Mkuliwa ameasiliwa na Mafisadi na sasaamekua ni Kijana wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom