Eti mi mchoyo

huyo mama anataka nini zaidi? Mkuu sikia kengele tulia na wako maana sijaelewa hata huyo mama mazingira anayoishi kifamilia yako vipo ameolewa au ndio ile mijimama ya mjini?

Anaishi na watoto wake,nasikia mme wake yuko abroad na sijawahi kumsikia kurudi
 
On behalf of your wife, I am so proud of your stance Sangarara... Mungu akubariki uwe hivo siku zote. Labda siku moja moja uwe unaenda na wife ili atambue kuwa unagawa kwa sana tu, ila kwa yule ambae umemridhia...

BTW on a serious note, Wanadamu hawana shukrani. Hata kama alikuwa anamaanisha wewe ni mchoyo wa pombe ilikuwa haina haja ya kumnunulia pombe siku zote hizo hali yeye hajafanya hivo na wala hana mpango.

Kwa swala la kwenda na wife Bar kumuonyesha kwamba nagawa kwa sana sidhani kama uko serious AshaDii, japo pia mi sio mgawaji kihivyo, on this specific case, kama ni kweli huyu mama alikuwa anamawazo ya jigjig basi I was very naive to notice, lakini nimenunulia bia baada ya kugundua malalamiko yake yalikuwa very serious hivyo sikutaka kufikiria kama kutokuwa mchoyo kwake ni wajibu wangu au la!!

Swala la yeye kuninunulia, it is unfortunate kwamba huwa sichukui zawadi za wanawake, na ni hivi karibuni tu ndio nimejifunza kupokea zawadi kutoka kwa wife bila kuzicritisize.otherwise nakubaliana na wewe mia kwa mia, Mwanaadamu hana shukrani.
 
Great Thinker, that's why I appreciate this forum, hahahahaaaa............Napita tu wakuu
 
Yani mpaka hapo hujamfamu huyo mama anakusudia nini? akupishe uko asikupunguzie mda wa kuishi. na wewe usikubali kuchunwa kirahisi hivyo hayo maneno yake sio moto au mkuki akikwambia mchoyo mwambie ushazowea hayo maneno..
 
Kama Mungu kakupa uwezo wa kupata pesa za biya kwa nini unamnyima mama wa watu aliye umbwa na Mungu huyo huyo?
 
Hali yangu namshukuru Mungu, ni mzima wa afya. Manyanza what of you, u hali gani?

kwa sasa nipo poa kidogo mwezi May nilipata ajali mbaya sana ya gari nilipoteza fahamu kwa siku sita na nilipata mtikisiko wa ubongo bado jicho la kushoto halijatulia
 
Huyu mmama ni jirani yangu wa muda mrefu sana,zaidi ya miaka mitano sasa, kwa kipindi chote hicho uhusiano wangu na yeye zaidi ya ujirani umekuwa ni salamu tu. Mwanzoni mwa mwezi huu nyumbani kwa jirani yetu mwingine imefunguliwa glocery hivo imekuwa kawaida yangu kwenda pale ama kupiga fundo la mwisho kabla sijaingia home, au kuuweka kabisa na kutandika castle rites zangu za baridi.

Glocery hii ndio imesababisha mimi na huyu mama kuwa karibu zaidi, sababu mara nyingi tunakutano hapo, karibia kila siku nikienda lazima nimkute anakula bata au yeye atanikuta, na kama kawaida tumekuwa tunasalimiana tu na mpaka sasa haijatokea tukakaa japo meza moja, sasa recently kaanza kunitupia shutma kwamba mimi mchoyo mimi mchoyo, nikafiriki anataka bia, juzi nimemkuta nikamsalimia alipomaliza kuitikia akaniambia lakini nipunguze uchoyo, nikamtupia bia mbili, jana nikamkuta tena akarudia hiyo kauli nikamuambia mi sio mchoyo sema serikali ya jakaya imeharibu uchumi akanambia namsingizia, nikajitoa muhanga nikamuambia basi ye anywe tu bill ntalipa mimi, jana tena nimekutana nae karudia kauli ile ile, as if sijamuonyesha uungwana na utoaji wangu hata mara moja.

Kuna mshikaji niliyekuwa naye nilimueleza hii kitu katika kujustify kumlipia bill yule mama, akacheka na kuniambia kweli nimebadirika. ndo nikafunguka, hivi inawezakana kweli huyu mama akawa anamaanisha namnyima mambo yenu yaleeee

Yamekuwa yetu tena, jiongeze wew
 
Kwakweli hata mimi nakuona kuwa wewe ni mchoyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom