Eti: "Mgomo wa madaktari - KINARA HOI" Gazeti la CCM

kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,259
319
Kujipendekeza kubaya jamani. Leo nadhani mmeona kichwa cha habari gazeti la UHURU.
Nimejiuliza hivi, ili Gazeti lina mhariri mkuu? Kasoma wapi? Nani kawambia Ulimboka ni kinara wa mgomo? Ulimboka ni kiongozi wa Doctors' Assassination, anapresent wanachokubaliana madactari katika vikao rasmi. Binafsi nasikitika kuona watu wakipoteza maishasababu ya mgomo huu, lakini alichofanyiwa Dr. Uli, ni unyama unaolitia doa la damu bendera ya kijani ya CCM, ambao sikutegemea Gazeti na hasa la Chama tawala kuusherehekea. Nina wasiwasi na muandishi wa habari ile na hasa Mhariri Mkuu. JIPENDEKEZENI, najua ndo mnapopata kula, lakini mkumbuke na ka taaluma kidogo mlikosomea. Najua wengine hamkusomea mmepewa vyeo tu, lakini semina mmeenda. Jirekebisheni gazeti la UHURU.
 
Mkuu usipoteze muda wako kujadili mambo yanayoandikwa na gazeti la Nape... Isitoshe ilo gazeti halina muda mrefu litakufa kama ilivyokuwa kwa gazeti la Mzarendo..
 
Kujipendekeza kubaya jamani. Leo nadhani mmeona kichwa cha habari gazeti la UHURU.
Nimejiuliza hivi, ili Gazeti lina mhariri mkuu? Kasoma wapi? Nani kawambia Ulimboka ni kinara wa mgomo? Ulimboka ni kiongozi wa Doctors' Assassination, anapresent wanachokubaliana madactari katika vikao rasmi. Binafsi nasikitika kuona watu wakipoteza maishasababu ya mgomo huu, lakini alichofanyiwa Dr. Uli, ni unyama unaolitia doa la damu bendera ya kijani ya CCM, ambao sikutegemea Gazeti na hasa la Chama tawala kuusherehekea. Nina wasiwasi na muandishi wa habari ile na hasa Mhariri Mkuu. JIPENDEKEZENI, najua ndo mnapopata kula, lakini mkumbuke na ka taaluma kidogo mlikosomea. Najua wengine hamkusomea mmepewa vyeo tu, lakini semina mmeenda. Jirekebisheni gazeti la UHURU.
ulimboka ni kiongozi wa doctor's assassination?ni lugha au umedhamiria mkuu?
 
Hivi gazeti la Uhuru bado lipo? Kama lipo basi linasomwa na watu wenye IQ ndogo kama wasuasi wa Chama Cha Magamba(ccm)
 
Kwani limenunuliwa?Gazeti ambalo limetoka leo hasa ni la Mtanzania lilikuwa halipatikani kwa urahisi.Ni kichaa peke yake atafurahia hilo
 
Ndio mujue watafanya kile tu watakachoagizwa liwalo na liwe
 
Wadhaifu walihusika kwa 100%! Dr. alivyo na umuhimu kwetu, uhuru hawakutakiwa kuandika upuuzi kama huu! mwisho wa haya yote ni 2015.
 
Gazeti linawakilisha,uhuru wa kujiamulia mambo watakavyo bila kukosolewa !
 
Kujipendekeza kubaya jamani. Leo nadhani mmeona kichwa cha habari gazeti la UHURU.
Nimejiuliza hivi, ili Gazeti lina mhariri mkuu? Kasoma wapi? Nani kawambia Ulimboka ni kinara wa mgomo? Ulimboka ni kiongozi wa Doctors' Assassination, anapresent wanachokubaliana madactari katika vikao rasmi. Binafsi nasikitika kuona watu wakipoteza maishasababu ya mgomo huu, lakini alichofanyiwa Dr. Uli, ni unyama unaolitia doa la damu bendera ya kijani ya CCM, ambao sikutegemea Gazeti na hasa la Chama tawala kuusherehekea. Nina wasiwasi na muandishi wa habari ile na hasa Mhariri Mkuu. JIPENDEKEZENI, najua ndo mnapopata kula, lakini mkumbuke na ka taaluma kidogo mlikosomea. Najua wengine hamkusomea mmepewa vyeo tu, lakini semina mmeenda. Jirekebisheni gazeti la UHURU.

Si wanajua kuwa bosi wao ndo kafanya hivyo!
 
please usijadili uhuru na mzalendo hawa waharii ni kama mbwa koko wanakula hata vinyesi vyao wenyewe:israel:
 
shame on them,dhaifu ni dhaifu hawachagui hata jambo la kushangilia,nimeamini ili uwe mshabiki wa ccm unatakiwa uwe fyatu,nyekundu kwao ni nyeupe na nyeupe ni nyekundu ndio maana badala ya kujiuliza nani kamtesa dr wao wanashangilia kwa kuwa wanahusika.
 
Mara nyingi namsitikia ndugu yangu Mhariri Mkuu Bwana Josiah Mfungo kwa nini anaendelea kufanya kazi katika mazingira ya aibu kama hayo na elimu anayo nzuri.Najua uzee umemkamata na anakaribia kustaafu lakini heading zingine zinadhalilisha elimu na utu wake.Siamini kama anajitambulisha katikati ya watu na wasomi jadidi kwamba yeye ni Mhariri Mkuu wa Uhuru na Mzalendo.UCHISWASHA WASWU, TURAGAMO EMISANGO JO OBWANA.
 
Hii inanifanya kuamini Ccm wamemfanyia unyama huo.

Sasa hivi CCM ni kama faru aliyejeruhiwa, dawa ni kukaa kwa tahadhari. Kama una LMG basi ni kuelekeza mwelekeo muafaka, na ukiona kifaru anatikisa mkia mimina zote mu kichwa. Haya majamaa ni mafia, lakini yanagongeka kirahisi tu. hayajamfikia Gadafi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom