Eti maziwa yatachafuka!

hata hilo la kuganda maziwa ati usiponyonyesha kwa muda mrefu ni upuuzi......mbona ya ngombe hayagandi??? natunakamua asubuh na jioni....

Hapana shishi, kuna ukweli wa kisayansi. Usiponyonyesa kwa muda mrefu ni bora kukamua maziwa ukayamwaga. Yakibaki kwenye matiti yanaruhusu bacteria kuota na kuyachachisha pia inasababisha maambukizi. Hii uleta uvumbe kwenye matiti (mastitis) na inaweza kusababisha hata homa kwa mama.
 
hili mie silioni hata linaweza kutokea vipi

kwani baba si mkiwa kwenye kutenda tendo la ndoa si anayanyonya maziwa kidogo na kuyapunguza ..AU?
 
Hebu acha utani wewe!! Umenifanya nicheke hadi nashikilia mbavu.

Sijui, labda inawezekana. Ila kuna siku hayo maziwa ya mtoto yaliniingia mdomoni bila kutegemea nilitamani kufa mie.

:A S wink::A S wink::A S wink:
 
huh!
ulitamani kufa kwa kipi?

pure food ......... :)

mimi nilidhani hiyo ni hali ya kawaida ......kuyapunguza :decision:
 
Wee Teacher acha tu,

Tena wife alinipa ki-utani. Hata yeye alisikitika kwa kuwa nilijisikia vibaya. May be wengine wanapenda ila mhhh, nilikereka sana!

Hata hivyo niliwahi kusikia kuwa kuna wanaume wanawanyonya wake zao hadi watoto wanakosa mlo! ...But for me Big No. It never worked.
 
hapa itabidi tusubiri wataalamu na tajiriba zao waseme inakuwaje!
 
hili mie silioni hata linaweza kutokea vipi

kwani baba si mkiwa kwenye kutenda tendo la ndoa si anayanyonya maziwa kidogo na kuyapunguza ..AU?

Gaijin, hapa naona umegusa penyewe. hilo la maziw kuchafuka ni lugha tu ambayo wazee waliitumia
kujaribu kuepusha watoto kulala njaa kwani walijua kwamba kwenye "sega" lazima mtu mzima atanyonya chakula
cha mtoto na huenda akakimaliza. wazee walifikiria hilo ndio wakaja na zengwe la kuchafuka maziwa
 
Godii,

Itabidi tupeane uzoefu. Hivi wanaume wanakunywaga hayo maziwa.Najua wapo wanaoweza, ila ni wengi kiasi gani?

For me, ni kitu ambacho nilishindwa kabisa. Kilinikera na kunichefua roho.
 
hadi kutungiwa methali ya kuwafanya watu waache ................inaonyesha wanyonyaji wengi kuliko wasonyonya
 
Godii,

Itabidi tupeane uzoefu. Hivi wanaume wanakunywaga hayo maziwa.Najua wapo wanaoweza, ila ni wengi kiasi gani?

For me, ni kitu ambacho nilishindwa kabisa. Kilinikera na kunichefua roho.

si unajua haya masuala yanafanyika "mafichoni" mkuu hivyo sitakuwa mkweli nikisema kiasi cha wanywaji wa
chakula cha mtoto. hata hivyo kama asemavyo Gaijin, mpaka wazee wakaamua kuweka mkwara basi
uwezekano wa wanyonyaji hiyo chakula ya mtoto si wachache
 
Poa Godii,

Sikumaanisha kwamba wewe utupe uzoefu. Kwani siyo rahisi kwa mtu mmoja kukutana na wanawake kibao wanaonyonyesha (ingawa wapo wataalamu wachache wana unbreakable records), ila nilimaanisha kuwa tusubiri wadau wengine watupatie ushuhuda.

Binafsi siwezi kuyanywa!
 
hili mie silioni hata linaweza kutokea vipi

kwani baba si mkiwa kwenye kutenda tendo la ndoa si anayanyonya maziwa kidogo na kuyapunguza ..AU?[/QUOTE]

Mh we Gaijin we una mambo makubwa sasa baba atonyonyaje wakati ile ni kwa ajili ya mtoto.Mi siku moja katika infidelity zangu nilichukua mtu bila kujua kuwa ananyonyesha basi kwa fujo mwanaume huyo, nikalibugia na kulifyonza,wewe yalivyojaa mdomoni nilitamani kufa, sikuweza,kumeza ,sikuweza kila nikitafuta pa kuyatema sipaoni ikabidi niyatemee hapohapo kitandani na mchezo ukaishia hapo.Kwa hali niliyoishuhudia mimi sidhani kama kuna mwanaume mwenye roho ya kuyameza.
 
Afadhali wewe ulikutana na kama yaliyonikuta mimi (ila yako kali kidogo kwani ulibugia kwa infii!!!).

Mwenzio nilipewa na ma wife kwenye utani.

Ohhhh Man, you can't stand it.
 
Poa Godii,

Sikumaanisha kwamba wewe utupe uzoefu. Kwani siyo rahisi kwa mtu mmoja kukutana na wanawake kibao wanaonyonyesha (ingawa wapo wataalamu wachache wana unbreakable records), ila nilimaanisha kuwa tusubiri wadau wengine watupatie ushuhuda.

Binafsi siwezi kuyanywa!

kwa kawaida kifua cha mwanamke huwa nakihusudu na hasa matiti makubwa ya wastani, siku moja nikaparamia mechi ya ugenini!mzee mzima kama kawaida nikakimbilia matiti, ile kunyonya tu nikaondoka na maziwa!kiukweli nilitapika na hamu yote ya kungonoka iliisha!
 
Siku za hivi karibuni nimekumbana na kisa hiki. Rafiki yangu ananiambia mke wake hataki kushiriki nae kisa ananyonyesha. Hoja yake ya mke ni myth iliyoshamiri ndani ya jamii kwamba sperms huchafua maziwa na kudhoofisha mtoto!
Anahitaji msaada wa kitaalam, uzoefu na maoni ya wadau

Kama ananyunyizia kwenye manyonyo ni kweli:loco:
 
Kinachoathiri mtoto ni mama au baba kula uroda nje ya ndoa.

Hata hii pia haithiri mtoto hizo ni imani tu (samahani simaanishi watu watoke nje ya ndoa) ila haithiri chochote kinachomuathiri mtoto ni kukosa matunzo mazuri, lishe bora nk. unakuta mama hajali kama mtoto amekula katika muda muafaka lishe anayompa si nzuri mtoto analishwa kama mtu mzima mara tatu tu kwa siku, mtoto mchafu kwa kifupi maangalizi ya mtoto yakiwa poor ndipo mtoto anapoathirika na si vinginevyo.
 
Hapana shishi, kuna ukweli wa kisayansi. Usiponyonyesa kwa muda mrefu ni bora kukamua maziwa ukayamwaga. Yakibaki kwenye matiti yanaruhusu bacteria kuota na kuyachachisha pia inasababisha maambukizi. Hii uleta uvumbe kwenye matiti (mastitis) na inaweza kusababisha hata homa kwa mama.

Usiponyonyesha kwa muda mrefu, matiti yanajaa maziwa na kusababisha cracks. Kwa vile mwili wa binadamu una bacteria [normal flora] ambao hawadhuru wakiwa katika ngozi,inapotokea ufa huweza kuingia na kuwa virulent. Hii itasababisha uvimbe [inflammation] na mwili uta mobilise white blood cells as means of defence. The accumulation of white blood cells utabadilisha hali ya maziwa. Kumbuka white blood cells wanapokufa katika mapambano na bacteria ndiyo tunapata usaha [pus].
Hali ya kuvimba titi inajulikana kama mastitis,na kwavile kuna bacteria invasion uwezekano wa mtoto kunyonya maziwa yenye bacteria ndio chanzo cha maziwa kuwa na madhara.
Kuwepo kwa bacteria hakuchachishi maziwa kwa vile mwili una mechanism ya kuyaweka maziwa ya mama yabaki hivyo yakiwa ndani. Kinachovuruga maziwa ni kuwepo kwa bacteria ambao wameshakuwa virulent na kuleta inflammation,hali inayoleta accumulation ya massive white blood cells. Hii ndiyo inaharibu utaratibu wote wa usalama wa maziwa.
 
hii inaonyesha kuwa huyo mama anajua kuwa pengine huyo mtoto si wa huyo baba. Kiukweli kama sio wakwake, akilala naye, mtoto akinyonya mazima anadhoofu...
 
Wee Teacher acha tu,

Tena wife alinipa ki-utani. Hata yeye alisikitika kwa kuwa nilijisikia vibaya. May be wengine wanapenda ila mhhh, nilikereka sana!

Hata hivyo niliwahi kusikia kuwa kuna wanaume wanawanyonya wake zao hadi watoto wanakosa mlo! ...But for me Big No. It never worked.

Hao wazazi ni wauwaji na wanapaswa washtakiwe kwa kukiuka haki za binadamu idara ya watoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom