eti matokeo darasa la saba yametangazwa?

dr chris

Member
Sep 23, 2011
76
12
wana jf najua mtandao wetu ni mpana sana hebu mwenye info kama kweli yapo tayari atujulishe ili presha za watt wetu zishuke
 
mh watoto wa wakubwa wanakuwa wameshajua mpaka kufikia sasa nakwambia selection ikimalizika tu washajua..
 
Back
Top Bottom