Eti mama ndani kwetu kuna daladala?

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Juzi Jumamosi nikiwa nafua nguo huku nikiwa naongea na jirani yangu ambaye ana watoto wawili mmoja ana miaka 12 na mwingine 9. Huyu wa miaka 12 ni mtoto wa kiume, alimtupia mama swali ambalo kwa wakati ule hakulijibu bali alikaa kimya kitu ambacho kilitufanya kutafakari kutaka kujua kwanini mtoto ameuliza swali halafu mama amekaa kimya.

Swali lenyewe ilikuwa hivi.
Mtoto: Ehe mama nimekumbuka hivi ndani kwetu kuna dala dala?
Mama: alikaa kimya.
Mtoto: Leo usiku nimekusikia ukisema "panda, panda" kwani kuna dala dala???

Baadaye mama alichofanya ni kumchapa mtoto yule bila sababu kwa kosa dogo tu, tukajua sababu yake ni hilo swali aliloshindwa kumjibu wakati ule.

Tatizo la uhaba wa vyumba vya kulala hapa Dar ni kubwa na hii ndio athari yake ambapo watoto hawalali kutaka kujua nini wazazi wao wanafanya usiku.................................................................
 
Halafu msema hovyo jokes zake,mara do honey have legs!Hallo wewe,kwani hizi maneno zako uwa unazitoa wapi!Any way thanks,atleast you make us smile.
 
Mtoto: Ehe mama nimekumbuka hivi ndani kwetu kuna dala dala?
Mama: alikaa kimya.
Mtoto: Leo usiku nimekusikia ukisema "panda, panda" kwani kuna dala dala???

Baadaye mama alichofanya ni kumchapa mtoto yule bila sababu kwa kosa dogo tu, tukajua sababu yake ni hilo swali aliloshindwa kumjibu wakati ule.

Kazi ipo...maana hapo mtoto keshajua kondakta ni yupi na suka ni yupi between the parents.
 
Inafurahisha pale mtoto anapouliza swali then anaambulia bakora..! Nafikiri adhabu aliyoipata itamuongezea udadisi wa kutaka kujua jibu la swali lake au kwa nini alipouliza hilo swali alichapwa..!
 
Hilo tatizo lipo kila kona duniani!nchi za ulaya kuna watu wanakaa chumba kimoja,baba,mama na mtoto.tena wanashea kitanda(double deka)
 
isije ikawa babu msemaovyo ndo ulikuwa unaambiwa upande,kwa daladala ya nyumbani kwa hao watoto!!!, unatuzuga hapa
 
Kindimbajuu habari za Arusha? Hapa hakuna nini wala nini mi ninauhakika mwanae Babu msemaovyo ndo alimuuliza yeye ndo akamshushia kipigo.
Kwa ushauri tu wewe na mumeo jaribuni ile stail ya kimya kimya kama itasaidia.
Upo hapo Babu!
 
Hilo tatizo lipo kila kona duniani!nchi za ulaya kuna watu wanakaa chumba kimoja,baba,mama na mtoto.tena wanashea kitanda(double deka)
Itakuwa Eastern Europe maana kwa wengine kuna housing associations au councils zinatoa nyumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom