Eti..... Kwanini tunafanya hivi?

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,356
Na umri wangu huu huwa bado natatizwa. Labda wakuu mwaweza msaidia ODM kufumbua hili fumbo.

Eti ni kweli?

Wanaume wanapokojoa (haja ndogo) lazima wateme mate?
Wanawake wanapokojoa (haja ndogo) eti ni lazima waachie kaushuzi japo kiduchu?

Niko kitandani huku nasubiri mauzoefu yenu jamani, mie nimetatizwa:
Angalizo: Hakuna kucheka wala kuchakachua.

Baada ya kusema hayo, naomba niwatakieni wikiendi njema na sikukuu njema ya Eid el Haj........
 
Huo utafiti wako ni uongo kabisa.. Hao wanawake wanaofanya hivyo lazima watakuwa na matatizo. Sijawahi kusikia hicho unachoita 'LAZIMA'
 
Una jinsia mbili mpaka ujiulize maswali yote hayo?Kama ni hivyo hongera mwenzetu.
 
Na umri wangu huu huwa bado natatizwa. Labda wakuu mwaweza msaidia ODM kufumbua hili fumbo.

Eti ni kwanini?

Wanaume wanapokojoa (haja ndogo) lazima wateme mate?
Wanawake wanapokojoa (haja ndogo) lazima waachie kaushuzi japo kiduchu?

Niko kitandani huku nasubiri mauzoefu yenu jamani, mie nimetatizwa:
Angalizo: Hakuna kucheka wala kuchakachua.

Baada ya kusema hayo, naomba niwatakieni wikiendi njema na sikukuu njema ya Eid el Haj........

unachokisikia kwa mkeo siyo kwa wanawake wote, nawasilisha.
 
Khaaaaa,ww mzee hii kali,kwanza hata km ni risechi ya hii kitu lzm ifanywe kwa obusaveshen mesod ili kupata data za ukweli,
Sasa ww hii kazi umeifanyia sayari gani na hao wanawake ni wa aina gani
Na ulitumia njia gani mpaka kuweza kuwachungulia na kusikia sauti ya huo ushuzi
Coz mie hilo halijawahi kunitokea wala sijawahi kusikia
Na nimeenda kukojoa sasa hiv ili kuona km itatokea haijatokea
Haki ya nani ww BABU sred yako imenichanganya naomba majibu tafadhali.
 
eMimi naomba nitoe angalizo langu kuhusu hili kivingine,muda wote niliowafahamu wanawake kadhaa sijawahi kusikia wakiachia ushuz in public mara nyingi ni sisi wanaume ndio tunachafua hali ya hewa.Kama wanapunguza pressure wakiwa toilet naona ni ubunifu mzuri na wakuigwa na wanaume pia.
 
nakutakia mapumziko mema,hii ni imani toka tukiwa watoto hasa sie tuliokulia uswahilini ,tunatemea mate pale tulipokojoa kwa kuwa tuliaminishwa ya kuwa usipotemea mate pale ulipokojolea basi nyoka atakufuata au ziwa la mama yako litakatika. Nalog off
 
mmmh!! Will be back (swali linabaki kwangu hua unafanya nini hapo Mama Matesha anapoenda haja ndogo)

hapo kwa wanawake ? ni wanawake gani hao babu ?

na aseme ni wanawake wa wapi....na ni wakati wamekunywa nini...maana kila kinywaji na tabia yake....

Huo utafiti wako ni uongo kabisa.. Hao wanawake wanaofanya hivyo lazima watakuwa na matatizo. Sijawahi kusikia hicho unachoita 'LAZIMA'

:smash: maswali yamezidi masuala. babu,wknd njema, toka kitandani uone mema ya nchi

unachokisikia kwa mkeo siyo kwa wanawake wote, nawasilisha.

babu hakunaga kitu km icho..eti kaushuz jaman mh!!!!!!!!!!

Shindwa katika jina la Yesu Mnazareti.

Mie sijawahi kufanya hivo acha uongo wako wewe naona unazeeka vibaya

SHINDWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Khaaaaa,ww mzee hii kali,kwanza hata km ni risechi ya hii kitu lzm ifanywe kwa obusaveshen mesod ili kupata data za ukweli,
Sasa ww hii kazi umeifanyia sayari gani na hao wanawake ni wa aina gani
Na ulitumia njia gani mpaka kuweza kuwachungulia na kusikia sauti ya huo ushuzi
Coz mie hilo halijawahi kunitokea wala sijawahi kusikia
Na nimeenda kukojoa sasa hiv ili kuona km itatokea haijatokea
Haki ya nani ww BABU sred yako imenichanganya naomba majibu tafadhali.
Kheeeee! Jamani si nimeuliza tu wajameni? Mbona kina mama memekuwa wakare namuna hii? Nimeuriza hivi ni razima muachie kaushudhi? Thijathema LAZIMA lol!
 
eMimi naomba nitoe angalizo langu kuhusu hili kivingine,muda wote niliowafahamu wanawake kadhaa sijawahi kusikia wakiachia ushuz in public mara nyingi ni sisi wanaume ndio tunachafua hali ya hewa.Kama wanapunguza pressure wakiwa toilet naona ni ubunifu mzuri na wakuigwa na wanaume pia.

nakutakia mapumziko mema,hii ni imani toka tukiwa watoto hasa sie tuliokulia uswahilini ,tunatemea mate pale tulipokojoa kwa kuwa tuliaminishwa ya kuwa usipotemea mate pale ulipokojolea basi nyoka atakufuata au ziwa la mama yako litakatika. Nalog off
Angalau nyie mejentomeni mmenielewa na kumwaga mapwenti........

Hahaha we uporoto ni noumaa! Ubunifu siyo?
 
Kheeeee! Jamani si nimeuliza tu wajameni? Mbona kina mama memekuwa wakare namuna hii? Nimeuriza hivi ni razima muachie kaushudhi? Thijathema LAZIMA lol!

Maana tulishaona dalili zako za kuaribu weekend zetu mapemaaaaa!! lol
 
Kheeeee! Jamani si nimeuliza tu wajameni? Mbona kina mama memekuwa wakare namuna hii? Nimeuriza hivi ni razima muachie kaushudhi? Thijathema LAZIMA lol!
'Hakunaga' babu. Inshort ni kwamba unazeeka vibaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom