Eti 'kuoa' ni gia babkubwa inayong'oa visiki vilivyoshindikana?

Ni kweli wanawake wengi ambao wameshapita michakato mingi ukabakia mmoja utamnasa kiulaini sana kama utatumia gia hiyo. Lakini wapo wanawake ambao bado jambo la kuolewa haijawa agenda hawa kuitaji sera za ukweli zilizoenda shule tena zikionyesha jinsi gani wewe utavyokuwa msaada wa kufikia malengo yake licha ya kupewa tunda. Wasichana wa namna hiyo katu hauwapati kwa gia ya kuwaoa.
Na ukitaka kujua msemo huo una kama 35% basi wanaume walioa wasingekuwa na nyumba ndogo maana wangejua hawaolewi. Vijana hao ulikuta wanajadili jambo hili kwanza hawana fedha, pili wanajadili masuala ya kimtaa sana ambayo hayareflect uhalisia kamili.
Nakuthibitishia kama wewe ni mwanaume mwenye confidence utatema cheche zako bila hata ya kugusia ndoa na utapewa tunda utakula ndiyo kama demu kakolea tena kajiridhisha kuwa unafaa kuwa baba watoto wake mnapofungua mjadala sasa ndugu vipi hali hii mpaka lini? Kama kunijua ushanijua sasa, ukiona hayo jua tayari demu ameappreciate ni siyo unamtongoza demu eti nitakuoa. Unaonekana wewe ni mbabaishaji sana unless mtu huyo uwe unaishi naye karibu hivyo mnajuana vyema na kauli hiyo halitahitaji muda wa kuithibitisha kama wewe unafaa au la.
Ni hayo tu.
 
Aakh,wapi.ukija kwangu na gia hiyo nakuona mjinga,halafu nakuona mshamba,hujiamini.yaan nakudharau nakuona km sharobalo wa shamba,fresh from the village.mwanamke mjaja hanasi kwnye mitego ya kijinga,labda aamue yeye tu kukupa mchezo ili nawe uingie kwenye chati za kumiliki warembo.kwanza huko mbelen tunaweza tukaanza kuwaoa ninyi,sijui mtakuja na gia gani

Hapo kwenye red ink, je waweza fafanua?? Hujui suala la kuoa/kuolewa ni katika mila na desturi!! Huko mbeleni kivipi? Labda uwe India kwa Maponjoro!! So longer as you are in African traditions, that will never happen!! Upo hapo??
 
Ila cheatings zimetawala kupindukia, gia ya kuoa INATIKI fasta saana ila inategemea na appearance ya presenter/aproacher..
 
Aakh,wapi.ukija kwangu na gia hiyo nakuona mjinga,halafu nakuona mshamba,hujiamini.yaan nakudharau nakuona km sharobalo wa shamba,fresh from the village.mwanamke mjaja hanasi kwnye mitego ya kijinga,labda aamue yeye tu kukupa mchezo ili nawe uingie kwenye chati za kumiliki warembo.kwanza huko mbelen tunaweza tukaanza kuwaoa ninyi,sijui mtakuja na gia gani

Umesema vema kabisa FL..
MAra nyingi wana generalize mambo wakidhani basi tunatishika na hizo gia zao
Akija kwwa gia ya kunioa nami nitamwambia mpaka akinioa ndipo ataujua mwili wangu ..Sijui ndo ataoa tu kisha akasepa?
Alafu wengine wamekuwa na gia za kitoto mara oooh nitakununulia gari wakati yeye mwenyewe hana...

Gia zenu zitafika mwisho muda si mrefu...:first:
 
Inategemea,kama mwanamke yuko na hamu ya kuolewa ukimwambia hivyo na una vigezo atakavyo atakubali,la ajabu lipi?

Mwanamke yeyote ambaye hajawai onja radha ya ndoa huwa ana hamu ya kuolewa,hivyo basi ni vigumu kunasuka kwenye mtego huu
 
Sikushauri kabisa na hii gia mkuu, hata ukipata game lakini mwisho wa siku utakuwa umejenga uadui...

uadui hauwezi wepo kwasababu kabla ya harusi huwa tumeshamwagana kistarabu tu.if you need to apply,ni pm nikupe mbinu za kutema mzigo siku ya siku
 
Utawapata wenye kihere here cha ndoa, na wapo wachache sana siku hz, infwakiti wanazidi kupungua
 
Baadhi ya akina mama utasikia wanawatahadharisha watoto wao kwamba kama hajatamkiwa neno kuoa asikubali chochote kwani mwanaume atakuwa mhuni. Cha kufanya ni kuachana nae!
 
mkuu kwa gia hiyo hungoi kisiki chochote labda wale shankupes wanaoshinda vibarazani na saloon...
 
ni wanawake ila sio visiki mkuu... hao ni maharage ya mbeya maji mara moja tatizo kiongozi anaongelea visiki which means wagumu

Oohh yes, kumbe mtoa hoja anaongelea visiki kwa maana ya wagumu kuelewa somoooo!!! If that's the case, then you are right!
 
hiyo gia ya kizamani sana hata sikushauri uitumie, yaani utawapata wale tu waliokata tamaa kuhusu kuolewa. Lakini kwa wale makini utachukua muda mrefu sana kuweza kufanikiwa. Nakushauri umwage sera zako tu pasipo kumharibia malengo yake ni rahisi zaidi kufanikiwa kwa haraka.
 
wanakuja fasta,tatizo ni pale atakapo anza kuku ng'ang'ania duh,....utalia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom