Eti kuna madhara mwanammke asiponanii kipindi cha ujauzito?

mnyikungu

JF-Expert Member
Jul 26, 2009
1,960
2,464
nina jaa yangu demu wake mjamzito,jamaa kwa sababu ni mgeni na ujauzito alisitisha tendo la ndoa kwa kujua huwa halifanyiki mwanamke akiwamja mzito,lakini demu wake amemuambia lazima wafanye wasipofanya kuna madhara.je madai haya ni ya ukweli? kama ni kweli kuna madhara gani?
 
hakuna madhara ya kutofanya lkn madhara yanaweza patikana mki mfanya bila uangalifu.
 
mhhhh.
humu ndani siku hizi tumekuwa kama pwagu na pwaguzi.......
 
Hata mimi hili bandiko limenikera, mambo mengine yalipaswa kuulizwa wakati mkiwa jandoni/unyagoni au kwa kaka/dada/mjomba/shangazi wakati wa balehe. Hata hivyo ili kumsaidia muulizaji, ngono yapaswa kusitishwa miezi mitatu ya kwanza ya mimba na baadaye kuendelea hadi hata wiki mbili kabla ya kujifungua. Hata hivyo afya ya mama na baba ni muhimu kuwekwa kipaumbele. Kwa maelezo zaidi muone mtoa huduma ya afya aliye karibu nawe!!!!
 
mamdogo unajuaje
1.
labda ndo yoko katika kipindi hicho?
2.
lakini unajuaje pia kuwa kauliza kwa faida ya walio kwenye kipindi hicho?

3.
unaelewa kuwa baadhi ya hata waliopita kpindi hicho bado wengine hawajui hayo mabo kabisa ama hawajui vizuri kwa viwango vyako?

4.
pia unajua kwamba hata hao uliopendekeza waulizwe wengi wao hawajui vizuri mambo hayo kwa ufasaha na wanashauri kwa mazoea tu?

ushauri wangu: kwa kuwa huwezi kujichagulia jirani, basi tujitahidi kuvumilia hoja za wengine.............
 
Asante kwa hoja yako Akili Kichwani. Basi kwa faida ya hao ambao wanataka kupata elimu dunia, tutaendelea kuwavumilia na kuwapa elimu pale inapobidi. Ila kwa kuwa hapa JF ni pa wastaarabu, si vizuri kwenda ndani sana wakati wa kuelimisha. FirstLady1, washaurije dada?
 
mamdogo unajuaje
1.
labda ndo yoko katika kipindi hicho?
2.
lakini unajuaje pia kuwa kauliza kwa faida ya walio kwenye kipindi hicho?

3.
unaelewa kuwa baadhi ya hata waliopita kpindi hicho bado wengine hawajui hayo mabo kabisa ama hawajui vizuri kwa viwango vyako?

4.
pia unajua kwamba hata hao uliopendekeza waulizwe wengi wao hawajui vizuri mambo hayo kwa ufasaha na wanashauri kwa mazoea tu?

ushauri wangu: kwa kuwa huwezi kujichagulia jirani, basi tujitahidi kuvumilia hoja za wengine.............
hapo akili kichwani umenena? mi sikuuliza kutaka kumkera mtu, bali niliuza kusaidia rafiki yangu wa kiume ambaye mwenzi wake ana mimba lakini anataka waendelee na tendo.sasa tatizo langu ni nini? je hii sehemu ya jamii forums ina kazi gani?
 
asante kwa hoja yako akili kichwani. Basi kwa faida ya hao ambao wanataka kupata elimu dunia, tutaendelea kuwavumilia na kuwapa elimu pale inapobidi. ila kwa kuwa hapa jf ni pa wastaarabu, si vizuri kwenda ndani sana wakati wa kuelimisha. Firstlady1, washaurije dada?

ni kweli mamdogo.................., asante ...................
Lakini kuna kitu wanaita "tafsida" ukiona baadhi ya maneno yanakuwa mazito kuandikika basi si vibaya ukatumia hiyo mbinu ya tafsida................
 
nina jaa yangu demu wake mjamzito,jamaa kwa sababu ni mgeni na ujauzito alisitisha tendo la ndoa kwa kujua huwa halifanyiki mwanamke akiwamja mzito,lakini demu wake amemuambia lazima wafanye wasipofanya kuna madhara.je madai haya ni ya ukweli? kama ni kweli kuna madhara gani?
Ile staili common inabidi isitumike(tusiulizane staili ipi)
 
ni kweli mamdogo.................., asante ...................
Lakini kuna kitu wanaita "tafsida" ukiona baadhi ya maneno yanakuwa mazito kuandikika basi si vibaya ukatumia hiyo mbinu ya tafsida................
poooooooooint.
 
Back
Top Bottom