Eti kisaa sijalewa

huyo mkeo alitakiwa akuulize matokeo yalikuwaje, yani ungekosa jibu angekuwa amekukamata kiulaini.
 
hahahahahaha hawakuwa na simu hata wagoogleliana pyaaaa you have made my evening enhe ikawaje?

Hahahaha! Hapa lazima wote wapate zero lol. Wanajifanya wana akili kumzidi mwalimu... Tehe tehe!

Mwali malizia hiki kisa manake kimenivutia!
Hehehe, Mwalimu ni Mwalimu tu kila siku, huwezi kumdanganya.
Ni kama tulivo kua watoto una'iba' sukari unasahu kufuta
mzazi akiuuliza kama ulilamba sukari unabisha, huku unashangaa: alijuaje?
Unasahau wazazi walikua watoto kabla ya kua wazazi!
 
Waooo
Nimewamisije....
Duh
Upooo?
Kama umetumiss mbona hata hupigi simu?..

nimegundua kumbe unatupenda tukiwa chit chat, tukiondoka tu mapenzi yanaisha..

Nipo mwaya, majukumu yamekuwa mengi, mzima wewe?
 
Hehehe, Mwalimu ni Mwalimu tu kila siku, huwezi kumdanganya.
Ni kama tulivo kua watoto una'iba' sukari unasahu kufuta
mzazi akiuuliza kama ulilamba sukari unabisha, huku unashangaa: alijuaje?
Unasahau wazazi walikua watoto kabla ya kua wazazi!

hehehe na kweli aisee,haya nakungojea jmosi kpz
 
Kama umetumiss mbona hata hupigi simu?..

nimegundua kumbe unatupenda tukiwa chit chat, tukiondoka tu mapenzi yanaisha..

Nipo mwaya, majukumu yamekuwa mengi, mzima wewe?
Teh sinimepoteza simu juzi...ila nimerudi hewani ntakucheck
 
Back
Top Bottom