Eti kisaa sijalewa

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,558
jana nilikua Zero pub nacheki game ya Chelsea.
Baada ya game niaamua kupata Moja Mbili.
Mida ya saa nane. nikaanza safari ya kurudi home.
kufika nyumbani kumezuka ugomvi mkubwa sana. Eti nitakaaje Bar mpake saa nane za usiku halafu nirudi nyumbani sijalewa
''lazima umetoka kwa wanawake zako, usinione mtoto wa kunidanganya''
Kumbe ningejifanya nimelewa Chakari ningelala kwa amani.
 
yeah dagaa zipo diaa na leo mchana nimekula ugali dagaa,jamani unakuja lini sasa?
Hahahaha, udenda unanitoka mwenzio! ngoja nifanye mpango nije weekend!
Ngoja kwanza nikupe hii story umenikumbusha:

Kuna wanafunzi wa4 waliji-enjoy kama wazim the entire weekend
Fika monday wote walikua na hangover, wakaamua kutoenda shule
Kumbe mwalimu alipanga mtihani na ukafanyika, wakapewa ziro

wakapanga kumdanganya mwalim kua walipata pancha highway
na walipo maliza kurekebisha masaa yalikua yamesha pita
mwalimu akakubali kurudia mtihani wa wanne hao,
akawaweka separate rooms, kila mtu na paper yake, swali moja tu:

Ni tairi ipi ilio pata pancha highway?
 
Hahahahaaaaaa kweli hapo lazma ile kwako...
Dawa yake ungembebea hata nyama choma asingemind hata kidogo....
 
Hahahaha, udenda unanitoka mwenzio! ngoja nifanye mpango nije weekend!
Ngoja kwanza nikupe hii story umenikumbusha:

Kuna wanafunzi wa4 waliji-enjoy kama wazim the entire weekend
Fika monday wote walikua na hangover, wakaamua kutoenda shule
Kumbe mwalimu alipanga mtihani na ukafanyika, wakapewa ziro

wakapanga kumdanganya mwalim kua walipata pancha highway
na walipo maliza kurekebisha masaa yalikua yamesha pita
mwalimu akakubali kurudia mtihani wa wanne hao,
akawaweka separate rooms, kila mtu na paper yake, swali moja tu:

Ni tairi ipi ilio pata pancha highway?

hahahahahaha hawakuwa na simu hata wagoogleliana pyaaaa you have made my evening enhe ikawaje?
 
Hahahaha, udenda unanitoka mwenzio! ngoja nifanye mpango nije weekend!
Ngoja kwanza nikupe hii story umenikumbusha:

Kuna wanafunzi wa4 waliji-enjoy kama wazim the entire weekend
Fika monday wote walikua na hangover, wakaamua kutoenda shule
Kumbe mwalimu alipanga mtihani na ukafanyika, wakapewa ziro

wakapanga kumdanganya mwalim kua walipata pancha highway
na walipo maliza kurekebisha masaa yalikua yamesha pita
mwalimu akakubali kurudia mtihani wa wanne hao,
akawaweka separate rooms, kila mtu na paper yake, swali moja tu:

Ni tairi ipi ilio pata pancha highway?
Hahahaha! Hapa lazima wote wapate zero lol. Wanajifanya wana akili kumzidi mwalimu... Tehe tehe!

Mwali malizia hiki kisa manake kimenivutia!
 
Back
Top Bottom